Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Niambie silaha ya kimarekani ambayo Ni Siri Sana si Russia Wala China anaeijua.
Silaha zote si za Russia Wala Us zinajulikana kwa pande zote mbili.

Na huu ndiyo ukweli mchungu! Hayo mambo ni kwa nchi zetu, ila wenzetu wanajuana nje ndani
 
Mwishoni umemaliza vibaya sana ..hebu fatilia strength ya GLONASS na GPS hazijatofautiana kihivyo na kama ulkuwa hujui karibia simu zote zinazotengenezwa dunia kwa sasa flagships zote , hutumia integration ya GPS + GLONASS na system zingine ili kuleta performance nzuri fuatilia kuhusu google map ..you're very biased with Russian technologies.. Which makes your ideas very personally na kukosa usahihi kabisa ...wewe unasema a moving target can't be targeted, then why jet fighters zinakuwa shot down na missile system au aerial battle ya ndege kwa ndege na vipi kuhusu ant aircraft systems?.. Yan itunguliwe ndege ambayo inakimbia kuliko gari halafu ishindwe kutungua gari eti kisa ni mobile target , hio sio kweli ..THINK BIG ..na uwe openly hamna jeshi ambalo lipo perfect ,, kuna sehemu urusi wapo sawa na marekani hawapo sawa and its true for viceversa..

Kweli tupu
 
Kasahau juzi kule ulaya ROSCOSMOS walichapisha picha ya satellite walipo viongozi wa G 7. Tena waliifanya kwa utani na kejeli Kwamba kuonyesha walipo ( west) tupo( warusi)
Nb. ROSCOSMOS Ni satellite maalum ya jeshi la Russia.
Jamaa ana ishusha Russian military equipments ! Hizo silaha walizopewa mbona Ukraine wanapoteza maeneo ya mashariki.Ukifuatulia propaganda za western Europe utaona tofauti.
 
Iskander-M huwa inakuwaga camouflaged msituni na hupiga high precise strike kuelekea Ukraine tena kwa umbali mrefu , lakini sijasikia zikisiwa sana kama hizo HIMARS , lakini ni silaha nzuri na West hawaziongelei
Ni propaganda za Magharibi tu.Yaani HIMARS ndio iwe game changer!
 
Sina Utaalamu wa zana za Kivita ila nimevutiwa kuijua zaidi mizinga hiyo ya Kivita natumai humu kuna wajuzi/wajuvi wa mambo hayo.

HIMARS tangu zimeingia Ukraine kutoka Marekani zimebadilisha kila kitu wao wanaziita game changer, na Marekani kaziingiza nne tu pale Ukraine ila Warusi wanaziwinda kwa kila njia kupitia Drones zao, Su, Mig zao...nk

Sio Ajabu sana kushangaa Jana Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema imeziharibu 2 ila Waziri wa Ukraine alikuja kukanusha.

Rais wa Marekani Biden aliwapa Ukraine Aina ya Short/minimum range akiogopa kuwapa za Long range kwa kuhofia jamaa wanaweza kugusa pale Moscow.

Ukiangalia kwa Sasa Maghala mengi ya Silaha za Warusi ni moto kila kona, HIMARs zinafanya kazi Ukraine wanasema wangepewa hizi mapema wangepunguza maafa na pia vifo.

Baada ya Mizinga hii kutua Ukraine, Russia wameanza mafunzo ya kulilinda Daraja linalounganisha Crimea wakihofia jamaa wanaweza kuligusa, nimeona Warusi wamepeleka magari pale kazi yake yanatoa Moshi mwingi na kulificha daraja yanaitwa sijui Smoke nini.. Sio mtaalamu sana.

Mtaalamu/wataalamu wa haya mambo waje watupe maarifa zaidi.
Unaishi Ukraine? Maana neno nimeona limetawala maelezo yako
 
Duuu ar you sure kaka mkubwa
Scud mbona makombora ya zamani sana hayo alikua nayo Saddam/Iraq kwa wingi hata wataleban wanayo hayo
B52 mbona ndege za Kivita za Marekani hizo zinabeba makombora na Sio Combat war plane

Makombora yanayopiga bara moja hadi lingine ni ICBM/Inter continental ballistic missiles'

Hebu pitia tena Nondo zako kidogo
Napenda uwasilishaji wako wa hoja na jinsi unavyo mujibu mtu kwa utaratibu pasi na karaha/kukashifu.
 
Jeshi la Ukraine lilianza kupata mafunzo ya kijeshi toka West since 2014 waliponyang'anywa Cremea. Ikiwa mafunzo ya toka 2014 hayajawasaidia, haya wakati wa vita yatawasaidia??

According to viongozi wa Russia, kinachoendelea pale Ukraine ni operation ndogo sana, na juzi wamesema ikiwa watu wanafikiri watawashinda kwenye battlefield bas wajaribu.
Minds you , Ukraine kapoteza donbase jamaa bado wanatembeza dudu, hii ina maanisha wanataka the whole Ukraine... ni huzuni sana.
According to viongozi wa Russia, wewe je?

Vijana Wa Russia wanaokufa vitani je?
 
Unaweza kunionyesha wapi nimeandika Russia hana MLRS?
Achana na Grad na Smerch, nimesema mpaka sasa sijaona wapi Tornado imetumika. Tornado ni mpya hata hazipo nyingi na ndio zinaenda kufanya replacement ya Smerch. Hata TOS Buratino nimeona zinatumika ila Tornado sijaona
Tupeane elimu tu kwenye uzi huu, ile ligi yetu ya Russia vs USA/NATO ihamie uzi mwingine.
 
4000/1225= 3.3 Mach ambayo ni speed ya Supersonic kama ndege vita ya Kimarekani F22 Raptor au ndege vita ya Russia Sukhoi Su-57!
F-22 Raptor na Su-57 zote hazifiki Mach 3, Raptor iko kama 2.2 hivi kama sikosei. Yenye speed kali ni SR-71 Blackbird ambayo ni reconnaissance aircraft ya Marekani, wanasema imestaafu ila inaweza rudishwa kazini any time. Kipindi inatengenezwa ilikuwa na uwezo wa outrunning air to air missiles. Kuna changamoto sana kutengeneza ndege ya zaidi ya Mach tatu, kama hiyo Blackbird skin yake ya nje joto linazidi 200°C ikiwa angani, frame yake ina expansion joints. Ikiwa chini inajiandaa kuruka huwa inavuja mafuta kwa kuwa tanks zina expansion joints pia, bila hivyo zingepasuka angani na speed yote ile
 
Marekani wana military satellites ambazo huona kila takataka inayotembea ardhini, wanaweza ona ana handaki kwa kutumia technology ileile inayopima mafuta au madini kutoka angani, ukichimba andaki kule angani wataona somewhere ardhi inakosekana kuna uwazi.

Yale maroli kina Caesar howitzer ya Ufaransa na Pz2000 howitzer ya Mjerumani yanaenda kasi ila range yake ndogo maximum ni 70km kama yakitumia expensive Excalibur shell ambayo moja ni kama $70,000 uko. Range ya shells za kawaida ni 40km.

Maroli hayashishikiki nayo. Strategy ni kutumia maroli kushambulia adui akiwa ametulia kule kwake na kukimbia kutoweka eneo kama HIMARS zinavyofanya. Hii ndio inaitwa shoot and scoot, ni kama guerrilla ya wanajeshi. Stationary artillery ambazo sio self propelled kama M777 tunaita towed howitzer huwa zinashambulia adui akiwa anaadvance. Ndio rahisi kushambuliwa na adui
Hiyo technology wangeitumia Afghanistan wangewamaliza wa Taleban na vita isingechukua miaka 20
, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha longolongo
 
Marekani huwa hana show off ya silaha. Tangu nizaliwe sijawahi ona popote Marekani anafanya military parade, wakati fulani niliwahi waza hivi wanajeshi wa Marekani wanajua kweli kupiga gwaride sawasawa kama North Korea, China, India na Russia wanavyojua.

Na hapa tulizungumzia artillery systems na multiple rocket launchers sio nuclear missiles. Isitoshe Marekani haina mobile nukes kwenye maroli. Sio strategy yao badala yake wanazo nuclear attack submarines za Ohio class zipo 14 na kila moja inabeba nuclear missiles 24 za Trident II. Hizo ndio hukaa majini zikifanya shift muda wowote 24/4 zinasubiri yeyote ajichanganye. Urusi anazo Borei na Typhoon class zinabeba makombora mengi pungufu kidogo ya Ohio. Alafu sio lazima uwe na makombora mengi ya nyuklia, vita ikitokea hayatotumika mengi hivyo. Mradi uwe na survivability yake kubwa.
Hawana chakuonesha labda waandae gwaride la Mashoga
 
Hio ni iPhone 13 pro max ..angalia GLONASS hapo utaikuta. ..kunavitu nakuonaga upo vizuri ..ila kiu halisia una mahaba sana na American weapons and its technologyView attachment 2285854
Hata mimi ninayo kwenye simu. Uliwahi itumia GLONAS wapi? Sema hapa. Kuwa nayo sio shida, umepewa hiyo ni option. Twambie GLONAS uliitumia wapi maana sijasema haipo nimesema hatuitumii sisi.

Spotify, Bolt, Uber, Google Earth na takataka kibao zinatumia GPS. Wewe GLONAS umeitumia kwenye nini. Hata Warusi wenyewe silaha zao zina option ya GPS na wanaitumia sana ila Marekani na Westerns hakuna anayehangaika na GLONAS. Yani unategemea Egypt au Algeria anunua silaha za Urusi zisizo na GPS eti zina GLONAS?
 
Back
Top Bottom