Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Hii mada nikubwa kwako bro , ungepita tu kimyakimya. Light kama Russia angekuwa na huo uwezo operation yake ingekuwa tayari imeisha kitambo, ukiwa na air supremacy maana yake unauwezo wa kumdhibiti adui ashindwe kusonga mbele wala kupata supply. Kama huna uelewa kuhusu silaha na mambo ya vita jifunze kwa wenzio.
Tuelimishane hivi hivi mkuu badala ya kupita kimya. Wote tunavurugwa na kupotoshwa na taarifa tunazosoma na kusikia

Ila pia jamaa anaonyesha teknolojia yake kwa tahadhali sana, he cannot throw out all he has now
 
Ndyo maana nakwambia wee jamaa ni kilaza unasoma article zilizoandikwa na west unaisi watasifia vifaa vya mpinzani wake mkubwa zaidi ya kuonyesha madhaifu ata mfumo wao wa makombora waliusifia sana Ila badaye waliona ni WA hovyo Hadi mwaka Jana wakajiunga na kampuni ya Israel ili kutengeneza mfo imara. Rusia wengi tulikuwa hatuijui na wengi mlikuwa mnasema uchumi wake ata Jimbo ya California umeupita Ila wote tumeona uhalisia .kwenye maswla ya technology wala usiisifie sana USA na ukabeza nchi nyingine wao ni maarufu lkin hawako vyema kivile kama
Wewe jamaa ni kilaza wakutupwa si ajabu una ka degree kamchongo unaongea as if unaelewa kumbe hamna kitu. Unatia kichefuchefu kujifanya mjuaji wakati hakuna mahara umeeleza udhaifu wa silaha za magharibi. Ukiwa na bias unapoteza rationality hivyo nivigumu kujifunza kwa wenzako. Hauna access na front line, huna hata mafunzo ya jkt utajuaje precise ya silaha kama mizinga. At least mwenzako ana uelewa wa silaha na anaweza kueleza vema akieleweka sio wewe unaripuka tu nyege zako as if umeshawahi kuona hata kifaru cha urusi kwa macho tu.
 
Kama mimi kilaza wewe ni ng'ombe sasa.
Sikia nikwambie acha ushamba wa Ujamaa, Marekani kushirikiana na Israel kufanya testing ya mfumo mpya sio jambo la ajabu. Huo mfumo wa mwanzo wa Israel ni Marekani ilitoa hela nyingi kuutengeneza na kuujaribu. Research and development cost zinapunguzwa ukitumia taarifa ambazo ni proved na zinakidhi mahitaji. We don't reinvent the wheel in military development.

Unevamia fani ila nakutaarifu kwamba Russia na India walishirikiana kutengeneza BrahMos cruise missile na India ndio imetoa modifications nzuri zaidi kuliko za Russia? Kwahiyo Russia vilaza waliona hawajui wakaenda kuomba msaada kwa India?

Russia walishirikiana na India kutengeneza PAK FA ila India ikajitoa baada ya development cost kubwa kubwa, delays kutokea na transfer of technology kukosa. Kwa hiyo Russia hawajui kutengeneza ndege?

Sukhoi walishirikiana na makampuni ya India kutoa Su-30 MKI, baadae ikafanya vizuri zaidi na Russia ikatumia Su-30 MKI kutengeneza modification ya Su-30 SM. Kwahiyo Russia wanaangalizia India?

Russia waliiomba Ufaransa iwatengenezee Mistral amphibious ship, wakalipa na hela zitengenezwe mbili na mkataba ulibidi uongezwe nyingine mbili zitengenezwe Russia na Wafaransa. Russia ilipoitwaa Crimea mwaka 2014 Ufaransa ikavunja mkataba ikawapa hela zao na zile meli ikaziuza kwa Egypt. Kwahiyo Russia hawajui kutengeneza meli?
 
Aiba njoo hapa
 
Tukiweka ushabiki pembeni,UKRAINE pasipo kuwa na air cover ni ngumu kupata mafanikio kwenye hii vita maana unapiga mizinga kwa adui ila mwisho wa siku utaitaji kusogeza wanajeshi na vifaru kwa ajili ya kuchukua sehemu iliyoachwa na adui.kama una fighter na attack aircraft ni kazi bure maana vikosi haviwezi kufika kokote kule.
Hii kwa lugha ya kijeshi ni ' air supremacy, superiority ' sio kitu rahisi kutokea coz kwenye hii vita mabeberu wana upper hand. Ukraine amekuwa akitumia sometime drones kurenga shabaha kwa adui. Hofu yangu ipo kwenye mizinga ya HIMARS
 
Acha tantarira,

Taja simu mbili tu ulizowahi kuziona zinatumia GLONASS.
Hizi glonass zinatumika sana kwenye nchi zilizoendelea.. Mf. Marekani. Wengi wanatumia zote pamoja.. Kila moja ina uzuri na mapungufu yake kwa sababu zinatumika Mifumo tofauti ya setilite.
MF. Ukiondoa hizi propaganda za urashia na uwesti..
Watumiajiaji wa GPS ni nzuri sana kwenye maeneo tambarare na yenye uwazi.. Ila GPS sio nzuri kwenye maeneo yenye miinuko, mabonde na msongamano wa majengo marefu kama New York..
Hivyo watumiaji hutumia GLONASS wanapokuwa kwenye mazingira ya Aina hiyo na ndio sababu kuu ya hizo zote kutumika pamoja kwenye watumiaji wakubwa wa hiyo Mifumo.

SI vema kufananisha matumizi ya hizo teknolojia kwa mazingira yetu ya Tanzania au Africa kwa kuwa matumizi yake ni kama asilimia 0. Watumiaji wa GPS ni wachache mno mno.. Wengi hawajui hata kazi yake.. Wengine wanatumia kama show off tuu tofauti na wenzetu ambao ni lazima na ni sehemu ya maisha. Hasa wasafiri, watafiti.. Wataalamu.. Sisi huku ni kuuliza tuu.. Wapi ni wapi?? Tena Kuna maeneo ukitumia hiyo GPS unaweza kupotea.. Mifumo ya mipango miji na miundombinu hakuna.
Sembuse eti mtu umuulize Habari ya Glonass ataijulia wapi?? Wengi hata hawajui hata inafanyaje kazi.. Huku kwetu maskini. Ila kwa nchi zilizoendelea wanajua sana na wanaotumia kwa kuwa wanajua watumie wapi GPS na wapi watumie glonass.

Kuna kipindi Marekani waliizuia Russia isiweke vituo vyake vya glonass kwenye maeneo kadhaa Marekani kwa kuhofia ushindani dhidi ya GPS hasa ukizingatia kuwa kwenye miji mikubwa Marekani glonass ina accuracy kubwa zaidi kuliko GPS..
Ingieni someni vizuri juu ya faida au hasara za GPS na Glonass..

Kuna Aina za kazi za watu Kuna maeneo ni lazima utashift tuu kwenda kwenye glonass vinginevyo hutapata ulichokusudia.

Ukiondoa migogoro hiyo inayoendelea technology zote mbili zinafaida kubwa sana kwa wanaojua matumizi na umuhimu wake.
 
Umekaa tu ukajitungia hadithi yako ya tambarare na milima ukafikiri watu wenye akili wataamini hadithi yako ya Abunuwasi.

Jaribu tena kuja na hadithi nyingine, hii ya kitoto sana.

Ukraine says arrival of Western weapons is already «changing the course of the war»​

Thanks to the arrival of Western weapons so often demanded by Kiev, the Ukrainian Army has managed to destroy some ammunition depots in the territories occupied by Russian troops in the east of the country.
 
Hii vita sio sawa na Wazungu na Waasia au Wazungu na Waafrika, hii ni vita ya Wazungu na Wazungu, kingine kabisa Warasia na Waukraine na watu wa jamii moja, Genetically wana uhusiano, kuanzia miili, akili hata Kiojografia wameadapt hali moja...
Russia will never bi able to Subjugate Ukraine, sababu wanachotautiana tu ni Ukraine hakuwaga anaunda Silaha wala Jeshi kama Russia but Msaada anaopata kutoka Western allies ni very strategic.

Kuna taarifa kuwa U.K imaanza kuwapa mafunzo askari wa akiba wa Jeshi la Ukraine takribani 10, 000 hii inaonesha jinsi wanvojiandaa na Protracted Warfare.

Putin katufunza why we should not give a lot of power kwa mtu mmoja and our militaries need to have democratic control
Ni kweli kabisa, kitendo cha Putin kuwa na nguvu kubwa anasababisha vifo vya watu wasio na hatia. His Egos, Corrupts mind and the Personal Pride.
 
Hii kwa lugha ya kijeshi ni ' air supremacy, superiority ' sio kitu rahisi kutokea coz kwenye hii vita mabeberu wana upper hand. Ukraine amekuwa akitumia sometime drones kurenga shabaha kwa adui. Hofu yangu ipo kwenye mizinga ya HIMARS
Marekani atatoa NASAMS short/medium air defence system kiasi kidogo kulinda baadhi ya maeneo. Ujerumani yuko na mazungumzo na kati ya Norway au Sweden kutoa ammunition za Gepard anti aircraft gun ambazo Switzerland aligoma kutoa. Ila Ujerumani inazubaa kufanya maamuzi.

Ukraine haiwezi pewa ndege za NATO, training inachukua muda sana na hiyo ni direct provocation Tangu wanatoa silaha wakisema wanatoa offensive pekee, hata HIMARS hawajatoa rockets za range ya 300km ili Ukraine isishambulie ndani ya Russia.

Russia anasifika kwa artillery, atumie hizo. Angani hakutakiwa kupata changamoto mpaka sasa ila ndio hivyo
 
Mwishoni umemaliza vibaya sana ..hebu fatilia strength ya GLONASS na GPS hazijatofautiana kihivyo na kama ulkuwa hujui karibia simu zote zinazotengenezwa dunia kwa sasa flagships zote , hutumia integration ya GPS + GLONASS na system zingine ili kuleta performance nzuri fuatilia kuhusu google map ..you're very biased with Russian technologies.. Which makes your ideas very personally na kukosa usahihi kabisa ...wewe unasema a moving target can't be targeted, then why jet fighters zinakuwa shot down na missile system au aerial battle ya ndege kwa ndege na vipi kuhusu ant aircraft systems?.. Yan itunguliwe ndege ambayo inakimbia kuliko gari halafu ishindwe kutungua gari eti kisa ni mobile target , hio sio kweli ..THINK BIG ..na uwe openly hamna jeshi ambalo lipo perfect ,, kuna sehemu urusi wapo sawa na marekani hawapo sawa and its true for viceversa..
Sikuwa nimeona hii. Kwa hiyo unalinganisha ground vehicles na air vehicles. Nchi maskini hata Tanzania kuna radar ya kuona ndege angani, ushawahi sikia popote duniani nchi yenye radar ya kuona magari ardhini?

S-400 ya Russia inaona ndege ikiwa zaidi ya 300km, imezima transponder na ina RCS ndogo. Radar gani ya Urusi inaona magari ardhini hata 200km? Ungesoma topic ta Waves usingesumbua hapa
 
Umekaa tu ukajitungia hadithi yako ya tambarare na milima ukafikiri watu wenye akili wataamini hadithi yako ya Abunuwasi.

Jaribu tena kuja na hadithi nyingine, hii ya kitoto sana.
Mimi sio shabiki wa mijadala yenu.. Na siamini kama wewe ni mtetezi wa upande wowote katika technology hizo za GPS au Glonass. Nilichangia tuu kama msomaji wa kile kinachohusu hizo GPS naGlonass.
Naamini kwa uchangiaji wako wa masuala mengi huwa unasoma sana na si kusimulia.
Natumaini hata hili sio la kiushabiki utapitia vizuri source mbalimbali za technology ili ujiridhishe.

Sikuja kukukosoa Maana niliamini utapekuwa zaidi ndio Maana nimeeleza kwa lugha rahisi mno..
Najua umezoea kusoma kwa kiingereza tuu. Ndio Maana ukashangaa kusikia neno tambarare badala ya terrain, hills, mountain, tall buildings etc.

Yeyote anayesoma humu naomba kabisa asiamini ninachosema Bali aingie mwenyewe hata kwa ku. Google tuu kujua Glonass nini na inafanyaje kazi.. Ubora na mapungufu yake.. Pia asome GPS ni nini inafanyaje kazi, ubora na mapungufu yake.

Kisha asome utofauti wa kiutendaji kazi Kati ya hiyo Mifumo miwili... Natumaini atakuja hapa ameelimika zaidi kuliko hoja hii ambayo siamini mtu naye kuamini hivi unaweza kuitoa.
Mimi naamini ninyi wajenga hoja wengi mnasoma sana haijalishi upo upande gani muhimu ni facts tuu Maana wengi humu wanajifunza mengi kutoka kwenu.

Majibu uliyonijibu ina Maana hata mimi niliekuwa niliamini hoja zinazoletwa napata mashaka makubwa. Kumbe ni hisia tuu.

Kumbuka sisi si wa Marekani wala wa Russia. Tunajadiliana ili kujenga mustakabali wetu kama nchi na muelekeo wetu kutokana na yanayotokea huko. Hakuna mtu aliyetumwa na Urusi au NATO kutetea Sera au maslahi yake.

Nikosoe hiyo haipo hivyo ila ipo hivi.. La si hivyo ulivyojibu. Natumaini ilikuwa bahati mbaya si kusudio lako kama mchambuzi na mwelimishaji.
 
HaHakuna mtu muongo kwenye jamii forrum kawa wewe.comment zako ni za uwongo na za maaba kwa USA.TALIBAN walikuwa wanamiliki majimbo mengi tu wala hawakuwa ni watu wa kujificha kwenyee milima,wewe unataka kutuaminisha kuwa Taliban walikuwa wanapigana vita ya kuvizia wskati sio kweli
Hata Boko Haram pale Nigeria inamiliki misitu au napo serikali ya Nigeria ni Boko Haram. Mawaziri na wabunge walikuwepo Afghanistan na Taliban ilikuwa inajilipua kama kawaida yao.
Taliban walifukuzwa tangu 2001 Rais wao akaenda uhamishoni, kuondoka kwa Marekani pale sio kwake. Basi irudishe Russia ambayo USSR iliondoka mwishoni mwa 1970s kipindi cha Mujahideen
 
How Google Maps makes use of GLONASS and GPS?

Google Maps and the other mapping apps like Nokia’s HERE Maps and Apple Maps use the data connection to connect to the satellites of GLONASS and GPS. The modern day smartphones come with A-GPS and A-GLONASS support, which brings features such as turn by turn navigation, location tracking and real time location info.

What’s next after GLONASS and GPS?

[https://beebom]
 
Hata Boko Haram pale Nigeria inamiliki misitu au napo serikali ya Nigeria ni Boko Haram. Mawaziri na wabunge walikuwepo Afghanistan na Taliban ilikuwa inajilipua kama kawaida yao.
Taliban walifukuzwa tangu 2001 Rais wao akaenda uhamishoni, kuondoka kwa Marekani pale sio kwake. Basi irudishe Russia ambayo USSR iliondoka mwishoni mwa 1970s kipindi cha Mujahideen
Kwa akili yako kumiliki misitu na kumiliki jimbo unaona vipo sawa kweli
 
Sikuwa nimeona hii. Kwa hiyo unalinganisha ground vehicles na air vehicles. Nchi maskini hata Tanzania kuna radar ya kuona ndege angani, ushawahi sikia popote duniani nchi yenye radar ya kuona magari ardhini?

S-400 ya Russia inaona ndege ikiwa zaidi ya 300km, imezima transponder na ina RCS ndogo. Radar gani ya Urusi inaona magari ardhini hata 200km? Ungesoma topic ta Waves usingesumbua hapa
Eti topic ya wave.. Naona unajichanganya mwenyewe ..wewe mahaba yako yapo USA ..na kazi kubwa ya military satellites ni nini , usichanganye na concept za radar hapa ...usijikute wewe ndo umeelewa sana wave kama uligundua wewe ..wave tushasoma sana mpaka tukaacha ,, yani hakuna somo nililokuwa nalipenda nankulisoma kwa bidii kama physics kuanzia ordinary level hadi advanced level mpaka Leo hii
 
Back
Top Bottom