Anaugombea Wa nini ka ni zaidiii ivi nyie BAVICHA huwa mnalewa kwanza ndio mnakuja hapaa kwa nishaandaa Mbuzi kushangilia ushindi Wa MAGULissu Ni zaidi ya Raisi.
Zungumzeni yote, andikeni yote, tabirini muwezavyo lakini hatutaki kusikia lugha za tumeibiwa kura.Nusura ya vifungo
Nusura ya kifo
Nusura ya kurejea ngamani
Nusura ya kukamatwa
Nusura ya kuteuliwa kugombea
Nusura ya kupitishwa na tume
Nusura ya kufanya kampeni
Nusura ya kuruka na chopa
Bado nini tena?
Nine lives count! Bado ya mwisho kubwa kuliko yote! Tunatazamia!
Kukichwa kutapambazuka lakini kabla Jua halijachomoza kiza huwa kinene na giza huwa totoro.
View attachment 1613849
Nitajutafuta baada ya matokeo kukujibu hii messageKujipa matumaini siyo Jambo baya! Ubaya unakuja pale ambapo matumaini na matarajio yako yanaposhindwa kutimia! Utajilaumu Sana siku ya kesho, jiandae!
ndivyo walivyo hao, mara utawasikia kiongozi wao anasema Lisu kashashinda na yeye ni waziri mkuu wakati hata ubunge hapati safari hii.Anaugombea Wa nini ka ni zaidiii ivi nyie BAVICHA huwa mnalewa kwanza ndio mnakuja hapaa kwa nishaandaa Mbuzi kushangilia ushindi Wa MAGU
Kizingiti kikubwa ni jiji la Dar kesho tunampiga chini na chadema yote kesho na kuwatimua Dar
Dar kesho tutawaonyesha nchi nzima kuwa hatutaki vibaraka wa wazungu kama Lisu au chama cha vibaraka wazungu akina Amsterdam Dar
Hovyoooooooooooo, pumbvuuuuuuuuTunamuita Mpakwa mafuta wa Mungu Tundu Antiphas Lissu. Mungu mbariki kwa Jina lako Yesu Kristo awe Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025
True well saidHata Majambazi huwa yanatabdikwa risasi ila haimanishi ndio wawe viongozi
Unamtu aliyekaribu na wewe anayo vpn?Nimechelewa kushusha VPN playstore imepigwa pin...nimekosa clips zote
Na iwe hivyo kwa uwezo wa aliye juuIkiwa atashinda na asitangazwe basi atakaye tangazwa bila kushinda ajue Mungu anampenda zaidi hivi karibuni. Neno la kinabii
Mkuu pole sanaNimechelewa kushusha VPN playstore imepigwa pin...nimekosa clips zote