LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 30,069
- 47,808
Kizingiti kikubwa ni jiji la Dar kesho tunampiga chini na chadema yote kesho na kuwatimua Dar
Dar kesho tutawaonyesha nchi nzima kuwa hatutaki vibaraka wa wazungu kama Lisu au chama cha vibaraka wazungu akina Amsterdam Dar
Dar ipi? Nchi nzima ina shauku ya kuona mabadiliko ya kisiasaHata Majambazi huwa yanatabdikwa risasi ila haimanishi ndio wawe viongozi