Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,794
- 47,243
Nenda Uzi wa Lisu Kawe kuna Clip ya dakika 20.Ngoja nione kama M4C group watatuma
Nenda Uzi wa Lisu Kawe kuna Clip ya dakika 20.Ngoja nione kama M4C group watatuma
Not this time bro...!!!!Naamini pia atashinda lakini hatatangazwa mshindi. Cha ajabu matokeo hata kama hayakubaliki hakuna mahali unapoweza kuyapinga matokeo hayo. Bila Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi hawa wahuni wataendelea kuwepo madarakani hata kwa miaka mingine 60.
Kweli kabisa IQ ya Jiwe tushaipruvu kuwa haitoshi kutatua matatizo ya Watanzania ndio kesho tunamchinjia baharini.Bado IQ haitoshi kutatua matatizo, ...
Laiti Kama ungeijua dar na watu wake usingejinenea hayo!Kizingiti kikubwa ni jiji la Dar kesho tunampiga chini na chadema yote kesho na kuwatimua Dar
Dar kesho tutawaonyesha nchi nzima kuwa hatutaki vibaraka wa wazungu kama Lisu au chama cha vibaraka wazungu akina Amsterdam Dar
atatangazwa mkuu wala usiwe na wasiwasiAtashinda ingawa hawatamtangaza Atashinda... Let us wait and see.
kama una clip ya kufunga kampeni ya Kawe nisaidie hapa tafadhali sana. nimepitwa na jambo muhimu, mitandao ilikuwa kapoot!
Kweli kabisa IQ ya Jiwe tushaipruvu kuwa haitoshi kutatua matatizo ya Watanzania ndio kesho tunamchinjia baharini.
IQ ya kutatua matatizo ya nchi ni Katiba tu.Bado IQ haitoshi kutatua matatizo, ...
Hii nilitaka kuuliza wakuu, nani ame block VPN ? Hii App haipatikani kabisa! Yaani tangu asubuhi hola.Nimechelewa kushusha VPN playstore imepigwa pin...nimekosa clips zote
Mwisho wa kutumika Kama 'ndom' ni kesho!Halafu risasi zenyewe upigwe upande wa kushoto na uumie kulia! Gari yenyewe aliyokuwemo haina hata damu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] movie ya kishamba. Wenzie walisha tengeneza movie ya kifo na watu wakazika wakijua wanaye mzika ndiye fulani kumbe ni maiti ya mtu mwingine na jamaa anaenda kuishi zake nchi zingine.
MAGUFULI4LIFE.
Magufuli na kibaraka wake TCRA wakisaidiana na makampuni ya simu.Hii nilitaka kuuliza wakuu, nani ame block VPN ? Hii App haipatikani kabisa! Yaani tangu asubuhi hola.
Labda LISU asiwe na evidence ya kushinda kwakwe maana huwezi kusema umeshinda huna support evidence lkn akiwa navyo watamtangaza tu! vita kubwa iko kwenye mawakalaAtashinda ingawa hawatamtangaza Atashinda... Let us wait and see.
kama una clip ya kufunga kampeni ya Kawe nisaidie hapa tafadhali sana. nimepitwa na jambo muhimu, mitandao ilikuwa kapoot!
Ushamba na ulimbukeni wa madaraka.Magufuli kazigeuza Siasa kuwa ni Uadui
Dar utaijua kesho hats Chadema na Lisu wanaiogopa kama ukoma wanajua anguko lao kubwa kesho litatoka Dar es salaamLaiti Kama ungeijua dar na watu wake usingejinenea hayo!
Uko sahihi!Labda LISU asiwe na evidence ya kushinda kwakwe maana huwezi kusema umeshinda huna support evidence lkn akiwa navyo watamtangaza tu! vita kubwa iko kwenye mawakala
Inshallah!atatangazwa mkuu wala usiwe na wasiwasi
hili jambo Mungu analisimamia
Kumbe na ww ni muhanga.... playstore ishapigwa pini... [emoji3][emoji3].....Nimechelewa kushusha VPN playstore imepigwa pin...nimekosa clips zote
Not this time bro...!!!!
Kujipa matumaini siyo Jambo baya! Ubaya unakuja pale ambapo matumaini na matarajio yako yanaposhindwa kutimia! Utajilaumu Sana siku ya kesho, jiandae!Dar utaijua kesho hats Chadema na Lisu wanaiogopa kama ukoma wanajua anguko lao kubwa kesho litatoka Dar es salaam