Mitihani yote amefaulu, vizingiti vyote amevuka bado kimoja tu

Mitihani yote amefaulu, vizingiti vyote amevuka bado kimoja tu

Halafu risasi zenyewe upigwe upande wa kushoto na uumie kulia! Gari yenyewe aliyokuwemo haina hata damu😃😃😃😃 movie ya kishamba. Wenzie walisha tengeneza movie ya kifo na watu wakazika wakijua wanaye mzika ndiye fulani kumbe ni maiti ya mtu mwingine na jamaa anaenda kuishi zake nchi zingine.



MAGUFULI4LIFE.
Kwa hivyo BALALI yuko hai .
 
Nimechelewa kushusha VPN playstore imepigwa pin...nimekosa clips zote
JINSI KUSHUSHA ProtonVPN

Tafadhali fuatua hatua zifuatazo: -

1. SHUSHA ProtonVPN
Fungua ukurasa wa google.com na andika ProtonVPN​
Chagua ProtonVPN – Free VPN, Secure & Unlimited​
Install​
2. Baada ya kushusha
  • Bofya ‘Open’
  • tengeneza ‘username’ na ‘password’
  • bofya ‘login’
Ikiwa utashindwa katika hatua ya pili, yaani umeshindwa kwenye kutengeneza ‘username’ na ‘password’, unaweza kutumia username na password ya mwengine na utaweza ku-login.

Ikiwa imekuwa blocked itakwama kwenye hatua ya pili. Yaani utashindwa kutengeneza ‘username na ‘password’. Kwa hiyo jaribu kumuomba yoyote alie nje ya nchi ashushe yeye na atengeneze ‘username’ na ‘password ‘ kwa niaba yako ili uweze kuitumia ku-connect. Ila hatua hii itahitaji hii app ya ProtonVPN uwe umeshaishusha.
 
Naamini pia atashinda lakini hatatangazwa mshindi. Cha ajabu matokeo hata kama hayakubaliki hakuna mahali unapoweza kuyapinga matokeo hayo. Bila Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi hawa wahuni wataendelea kuwepo madarakani hata kwa miaka mingine 60.
Kwa mfumo uliopo Tusitegemee kutangazwa Lisu!

Aliepewa mamlaka ya kutangaza matokeo kwa kila Jimbo AMEAJILIWA AU KUTEULIWA NA MAGUFULI! hapa nazungumzia WAKURUGENZI WOTE TANZANIA hakuna atakae thubutu kutangaza ushindi wa LISU!

AKIFANYA HIVYO TU KIBALUA CHAKE KIMEOTA NYASI.
 
CCM watatumia mbinu ya kuwadhoofisha mawakala tu kwa kusaidiana na Polisi.
Labda LISU asiwe na evidence ya kushinda kwakwe maana huwezi kusema umeshinda huna support evidence lkn akiwa navyo watamtangaza tu! vita kubwa iko kwenye mawakala
 
JINSI KUSHUSHA ProtonVPN

Tafadhali fuatua zifuatazo: -

  • SHUSHA ProtonVPN
  • Fungua ukurasa wa google.com na andika ProtonVPN
  • Chagua ProtonVPN – Free VPN, Secure & Unlimited
  • Install
  • Baada ya kushusha
  • Bofya ‘Open’
  • tengeneza ‘username’ na ‘password’
  • bofya ‘login’
Ikiwa utashindwa katika hatua ya pili, yaani umeshindwa kwenye kutengeneza ‘username’ na ‘password’, unaweza kutumia username na password ya mwengine na utaweza ku-login.

Ikiwa imekuwa blocked itakwama kwenye hatua ya pili. Yaani utashindwa kutengeneza ‘username na ‘password’. Kwa hiyo jaribu kumuomba yoyote alie nje ya nchi ashushe yeye na atengeneze ‘username’ na ‘password ‘ kwa niaba yako ili uweze kuitumia ku-connect. Ila hatua hii itahitaji hii app ya ProtonVPN uwe umeshaishusha.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534]Thanks for the needful
 
Ni siku Mpya ikiwa na Tumaini jipya, tarehe 29 Oktoba saa 11:48 Asubuhi tukafanye yale tuliyoyaimba kwa miaka mitano sasa. WE SHALL OVERCOME.
 
Tukumbuke 2015 ilikuwa hiv hivi na Lowassa na alijihakikishia angeshinda. Lissu hawezi kushinda, ogopeni wajumbe jamani, ohoooo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom