Mitihani yote amefaulu, vizingiti vyote amevuka bado kimoja tu

Mitihani yote amefaulu, vizingiti vyote amevuka bado kimoja tu

Kizingiti kikubwa ni jiji la Dar kesho tunampiga chini na chadema yote kesho na kuwatimua Dar

Dar kesho tutawaonyesha nchi nzima kuwa hatutaki vibaraka wa wazungu kama Lisu au chama cha vibaraka wazungu akina Amsterdam Dar
Nishakuambia ukiwa kwenye heat usipost kitu
 
Nusura ya vifungo
Nusura ya kifo
Nusura ya kurejea ngamani
Nusura ya kukamatwa
Nusura ya kuteuliwa kugombea
Nusura ya kupitishwa na tume
Nusura ya kufanya kampeni
Nusura ya kuruka na chopa
Bado nini tena?

Nine lives count! Bado ya mwisho kubwa kuliko yote! Tunatazamia!
Kukichwa kutapambazuka lakini kabla Jua halijachomoza kiza huwa kinene na giza huwa totoro.

View attachment 1613849
Kesho twendeni wote tukampigie kura Tundu Lisuu, woote hata ukiwa CCM kampigie...tuachane na kiongozi mwendawazimu kabisa, ametutia aibu vyakutosha
 
Kibaraka wa mabeberu watanzania hawana haja naye. Aende kwao tu hiyo tarehe 18/12.
 
Kizingiti kikubwa ni jiji la Dar kesho tunampiga chini na chadema yote kesho na kuwatimua Dar

Dar kesho tutawaonyesha nchi nzima kuwa hatutaki vibaraka wa wazungu kama Lisu au chama cha vibaraka wazungu akina Amsterdam Dar
Wakati huo upo Mtambaswala halafu unajifanya wa Dar.
 
Hata Majambazi huwa yanatabdikwa risasi ila haimanishi ndio wawe viongozi
Halafu risasi zenyewe upigwe upande wa kushoto na uumie kulia! Gari yenyewe aliyokuwemo haina hata damu😃😃😃😃 movie ya kishamba. Wenzie walisha tengeneza movie ya kifo na watu wakazika wakijua wanaye mzika ndiye fulani kumbe ni maiti ya mtu mwingine na jamaa anaenda kuishi zake nchi zingine.



MAGUFULI4LIFE.
 
Nusura ya vifungo
Nusura ya kifo
Nusura ya kurejea ngamani
Nusura ya kukamatwa
Nusura ya kuteuliwa kugombea
Nusura ya kupitishwa na tume
Nusura ya kufanya kampeni
Nusura ya kuruka na chopa
Bado nini tena?

Nine lives count! Bado ya mwisho kubwa kuliko yote! Tunatazamia!
Kukichwa kutapambazuka lakini kabla Jua halijachomoza kiza huwa kinene na giza huwa totoro.

View attachment 1613849
Magufuli anatamani kutolewa kwemye madaraka kwa njia ya tofauti nje na kura za wananchi
 
Halafu risasi zenyewe upigwe upande wa kushoto na uumie kulia! Gari yenyewe aliyokuwemo haina hata damu😃😃😃😃 movie ya kishamba. Wenzie walisha tengeneza movie ya kifo na watu wakazika wakijua wanaye mzika ndiye fulani kumbe ni maiti ya mtu mwingine na jamaa anaenda kuishi zake nchi zingine.



MAGUFULI4LIFE.
Acha kukaa matako wazi mbele ya wanaume
 
Naamini pia atashinda lakini hatatangazwa mshindi. Cha ajabu matokeo hata kama hayakubaliki hakuna mahali unapoweza kuyapinga matokeo hayo. Bila Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi hawa wahuni wataendelea kuwepo madarakani hata kwa miaka mingine 60.
Atashinda ingawa hawatamtangaza Atashinda... Let us wait and see.
kama una clip ya kufunga kampeni ya Kawe nisaidie hapa tafadhali sana. nimepitwa na jambo muhimu, mitandao ilikuwa kapoot!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom