Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,466
- 11,641
hatuna nyimbo moja katika kiswahili, tuna wimbo mmoja
sawa shaaban robert
hatuna nyimbo moja katika kiswahili, tuna wimbo mmoja
Naona Voda wameamua kuweka idadi ya MB zinazolingana.... MB hazipimwi kutokana na kiwango cha fedha tena...
Wameamua kufanya hivi ili kuhamasisha watu wanunue kifurushi cha Internet.
Wengi tulizoea kununua cheka ambayo tunaua ndege wawili kwa jiwe moja... Unapata dk na mb za kutosha...
Kwa ushenzi huu mlioufanya jana nahisi mmeanza kutuchoka... Naandika hii comment nikiwa na Lundo la Hasira....
G O O D B Y E E E
VODACOM
KAZI IMEWASHINDAAAAA
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
WEWE UNAEJIITA MARKETING MANAGER......HUU
SIO UBUNIFU ILA NI UMBUMBUMBU
YOUR FIRED!!!!.......... 👹 📌 🔧
MB 8 ............NAZIPELEKA WAPIIIIIIIII HATA
MUKTASARI WA GAZETI LA MWANASPORT SIPATI
Hah hah hah...... Eti lundo la hasira. Pole mkuu
Haa Haa haaaaaa......Is it a secret? i am not selfish! tunaumizwa sie walalahoi lazima tuambiane jinsi ya kujikwamua! nyie ndo uwa mnabandua matangazo ya nafasi za kazi ili eti 'kupunguza competition'