Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,488
- 176,547
Ukinunua kifurushi cha internet pekee yake unapata MB 200 kwa sh. 500. Ukiwa unahitaji internet kwa sana bora kununua internet pekee, hivyo vifurushi vingine unanunua kwaajili ya kupiga simu tu na msg, hamna la ziada.
Ila wamepenguza kwa kiasi kikubwa sana. Labda wanatafuta kupunguza wateja, huwezi jua.
nahisi hili ndilo litakuwa lengo lao, yaani ujiunge bundle mbili tofauti!!! hawa watakuwa wanaamini kuwa kila mwenye smartphone ni tajiri so atajiunga tu bundle zote bila tatizo, teh teh teh!