Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

wanataka kufanya kama Tanesco walivyo tubambika bei kubwa ya umeme na makampuni ya simu yanapita njia ilele sisi watanganyika tukoje mbona tumekaa kimya bila kuchukua hatua.

Chukua hatua uzimwe kama Analogy kwenda Digital
 
Pata ongezeko la ziada la data, dakika ukinunua Yatosha bando kupitia Airtel Money...Piga*150*60# kisha chagua 6
Sio MB 125 zimepungua hadi kufikia 10 hebu angalia saivi hapo then lete feedback hapa.
 
Kwa niaba ya wa TZ wote watumia simkono,naiomba serikali ipige marufuku MB 8 zinazo ambatanishwa na muda wa maongezi.
MB hizo zinatumika kuwaibia wa TZ .
Huo ni mtego mbaya sana .
Baada ya hizo mb kwisha haijalishi ulikuwa na salio kiasi baada ya dakika moja linaliwa lote!
Kisingizio umetumia internet.
Huu ni wizi.
Hatutaki muungano huu wa mb na muda wa maongezi
 
Jaman yaani serikali ya tz cjui kwanini hainaga muda na shida za wananchi,January Makamba kijana mwenzetu kwel hili limekushinda??kwa kipato gani tulichonacho kila saa ununue bundle ya internet khaaaa
 
Kwa niaba ya wa TZ wote watumia simkono,naiomba serikali ipige marufuku MB 8 zinazo ambatanishwa na muda wa maongezi.
MB hizo zinatumika kuwaibia wa TZ .
Huo ni mtego mbaya sana .
Baada ya hizo mb kwisha haijalishi ulikuwa na salio kiasi baada ya dakika moja linaliwa lote!
Kisingizio umetumia internet.
Huu ni wizi.
Hatutaki muungano huu wa mb na muda wa maongezi

pole mkuu kwani ukiona mb8 ni shida tumia zako nokia tochi tu..
 
wapendwa nataka kujiunga na kifurushi cha 999 he kinaniambia nifurahi na tigo kwa tigo sek kazaa na MB 8

Iko sawa ama wamekosea ...aisee kama ni hivi sioni umuhimu wavifurushi tena walahiiii
 
aiseee niliacha kuutumia nilikuwa airtell he shdaaa
 
Pata MB 100 DAKIKA 20 MITANDAO YOTE SMS 500
tumia ndan ya miezi 6 kwa 1000/= tu niPM
nikunganishe NI KWA TIGO TU
 
Ninaendelea luwavunjia heshima viongozi, januari nilikuwa namuona wa mana sana.

ni kweli tuna ukoloni uliokithiri
 
Sasa ni kuanza kutembea na mobile hotspots na routers au broadcasters zenye bulk data.
 
Back
Top Bottom