Is it a secret? i am not selfish! tunaumizwa sie walalahoi lazima tuambiane jinsi ya kujikwamua! nyie ndo uwa mnabandua matangazo ya nafasi za kazi ili eti 'kupunguza competition'
NimeipendaUkinunua kifurushi cha internet pekee yake unapata MB 200 kwa sh. 500. Ukiwa unahitaji internet kwa sana bora kununua internet pekee, hivyo vifurushi vingine unanunua kwaajili ya kupiga simu tu na msg, hamna la ziada.
Ila wamepenguza kwa kiasi kikubwa sana. Labda wanatafuta kupunguza wateja, huwezi jua.
hatuna nyimbo moja katika kiswahili, tuna wimbo mmojaAsee nilikua sijui bhana nimejiunga na tigo leo asubuhi kifurushi cha 499 nidownlod nyimbo nimedownlod moja tu inakuja masage nimebakiwa na mb 5 nikapiga simu customer nilichojibiwa ndo nakikuta hapa now naperuzi kwa mb 1 tu!
Ajabu sana tz viongozi wanafanya biashara na haya makampuni ya simu za mikononi ndio maana gharama zinaongezwa kinyemela viogozi wamekaa kimya.Jiulize mtumiaji atalazimishwaje kununua bando yenye muda wa maongez,sms na internet badala ya kupewa option achague huduma anayotaka kulingana na mahitaji yake. je ni wangapi wenye simu za kutumia internet?. je hiyo budle ya internet isipotumika zinaenda wapi, na sms zinazobaki zinaenda wapi kama sio wizi wa mchana ni nini.utashangaa unalazimishwa kutumia bundle ndani ya muda viginenvyo unaporwa bila taarifa hata kama hukutumia kutokana na dharura kwa mfano maeneo mengi umeme unakatika mtu hawei kuchaji simu yake na kuitumia matokeo yake anakatwa budle yake yote. huu ni wiziiiiiiiiiii.
Happy birthday