Wahuni kabisa hawa, wameniudhi sana hawa wajinga. Kutoka mb 700 hadi mb 60 wametumia masaburi au nywele kufikia uamuzi huo. Tuwaache na mtando wao. Wanatoa sms kibao nani ana shida nazo
Ukinunua kifurushi cha internet pekee yake unapata MB 200 kwa sh. 500. Ukiwa unahitaji internet kwa sana bora kununua internet pekee, hivyo vifurushi vingine unanunua kwaajili ya kupiga simu tu na msg, hamna la ziada.
Ila wamepenguza kwa kiasi kikubwa sana. Labda wanatafuta kupunguza wateja, huwezi jua.
Mimi nilijua kuna ishu kumbe wanaolalamika ni wale wanaonunua vifurushi vya kisengesenge vya sh 500, lipa monthly 30,000 unakula maisha.
Jamani hii mitandao nishida sana,nimejiunga tigo bima nimeugua nimepeleka makaratasi ya hosptal ili nipate fidia yangu ya tigo bima pona wakakataa eti mpaka nilazwe ndo naweza rejeshewa gharama zangu.
Nimemindi kweli nikaamua nijiondoe mana nakatw kila mwezi alafu pesa yangu hainisahdii,wanadai nikijiondoa sitolipwa wala kurudishiwa michango yangu ya mwaka mzima,sasa nashindwa elewa hii inakuwaje niwachangie wao wapate pesa mimi nipate mashariti kwenye pesa yangu?
Mwenye uelewawa na utaratibu wa kujitoa na kurudishiwa michango yangu ya kila mwezi tafadhali.
Mimi nilijua kuna ishu kumbe wanaolalamika ni wale wanaonunua vifurushi vya kisengesenge vya sh 500, lipa monthly 30,000 unakula maisha.
Mimi nilijua kuna ishu kumbe wanaolalamika ni wale wanaonunua vifurushi vya kisengesenge vya sh 500, lipa monthly 30,000 unakula maisha.
voda na tcraNani anaendesha hujuma hizi?
Amia Airtel, full kujiachia!