Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Wewe unafanya kazi mtandao gani tuhamie ulipo?


G O O D B Y E E E
VODACOM
KAZI IMEWASHINDAAAAA
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
WEWE UNAEJIITA MARKETING MANAGER......HUU
SIO UBUNIFU ILA NI UMBUMBUMBU
YOUR FIRED!!!!.......... 👹 📌 🔧
MB 8 ............NAZIPELEKA WAPIIIIIIIII HATA
MUKTASARI WA GAZETI LA MWANASPORT SIPATI
 
Hapa nina RB ya huyu Kelvin Twisa,popote alipo nipm,nije na pongo wa kutosha tuli arrest
 
Mitandao ya simu ni wezi! tukiachana na suala la sasa hivi kupunguza bundle, hata lile suala la kifurushi ku-expire iwe daily, weekly or monthly ni wizi!! kinachotakiwa kwanza vifurushi viwe competetive na pili mtu akinunua kifurushi kisiwe na expiring limit, kiishe kwa mtumiaji kukimaliza mwenye kutokana na matumizi yake maana hili suala la ku-expire watu wengi vifurushi vina-expire ila bado unakuta kuna lots of msgs, munutes MB.
 
tunateswa.sanabna voda kwakufanya siasa badala ya mawasiliano
 
Mimi nikafikiri wamekosea aise. Hivi kwenye haya makampuni inamaana watu wote ni vilaza kiasi hiki. 8MB really????Maana mara kumi wangetoa kabisa tujue mmoja. TANZANIA INTERNET IS VERY EXPENSIVE NA QUALITY NI POOR.
Alafu wanakuweka eti msg 1000 cjui uzifanyie nn.
Tabia nyingine ya Vodacom ni pale kifurushi chako kiishapo, hawa ku alert mpaka hela yako iwe zero ndio vinotification vinakuja.
Huku napo sim banking ya crdb wanakata credo ku access, ni shidaaa
 
G O O D B Y E E E
VODACOM
KAZI IMEWASHINDAAAAA
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
WEWE UNAEJIITA MARKETING MANAGER......HUU
SIO UBUNIFU ILA NI UMBUMBUMBU
YOUR FIRED!!!!.......... 👹 📌 🔧
MB 8 ............NAZIPELEKA WAPIIIIIIIII HATA
MUKTASARI WA GAZETI LA MWANASPORT SIPATI

Ahsante Mkuu, vipi kuhusu mitandao mingine? Waweza tupa bundles zao?
 
Hujajibu swali ujue..... umepanic tu

Ni wewe tuu usieona upuuzi wa vodacom na nina wasiwasi na wewe lazima utakua kibalaka wa vodacom

Wakati rahisi tu taja mtandao kesho mie na jirani zangu tujiunge......ukizingatia tumechoka "unyonyaji" huo
 
Tuifukuze voda nchini kwetu inatudhurumu watz.
 
Jiunge internet tupu...sh 3500 1GB

Dah... Hakika mnaliwa pesa zenu. Huku Airtel tunapata 145minutes, 1000sms na 1GB kwa buku jero... Anyway ngoja tufurahie offer ya mwisho mwisho make ndivyo mitandao ilivyo. akianza mmoja wote wanafuata nyayo....
 
achana na malaini yao wapate somo! Wameiba sana wameridhka na wamejisahau wash-enz wakubwa voda
 
Hawa jamaa kwa sasa siwatofautishi na CCM !!

Believe me huo ni mpango wa CCM kuwabana walalahoi wasihamasishwe kuipinga Katiba pendekezwa ya CCM na kuwatokomeza CCM mwezi october 2015
 
Naona Voda wameamua kuweka idadi ya MB zinazolingana.... MB hazipimwi kutokana na kiwango cha fedha tena...


Wameamua kufanya hivi ili kuhamasisha watu wanunue kifurushi cha Internet.

Wengi tulizoea kununua cheka ambayo tunaua ndege wawili kwa jiwe moja... Unapata dk na mb za kutosha...

Kwa ushenzi huu mlioufanya jana nahisi mmeanza kutuchoka... Naandika hii comment nikiwa na Lundo la Hasira....
 
Back
Top Bottom