Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Hofu yangu ni airtel wasipandishe maana leo nimehamia huko nikitoka mkukuma vodacom. Safari hii tuandamane.
 
Kisambo

Hii sio kwa voda tu kaka ni kwa mitandao yote mambo yako hivyo....!!
 
Last edited by a moderator:
ngoja na mm nihamie airtel...hivi bando airtel unajiungaje na hilo la 400 ni muda gani lina expire?!

Vya kupiga simu ni hivi

*149*81# hiyo utapata whatsapp fb na twitter bure unlimited. Code nyingine hii hapa *149*99#

Kwa bando la internet sh 400 mb 300 piga *148*88# kisha chagua omg unayotaka..

Airtel itabid wanilipe maana nimewavusha kwa promo
 
Hii haijakaa vyema, natumai tuliaminishwa uwepo wa mkongo wa taifa utapunguza gharama za mitandao ya mawasiliano, ila mpaka sasa ni uzushi tuu. Mitandao kwa sasa inakulazimisha ununue muda wa maongezi au data mapema (Kujiunga) kimtindo kwani usipofanya hilo huwezi ongea na mtu mkaelewana vizuri kwa Tsh 1000 bila kujiunga. Kwasababu wameshajua wanawateja wengi na kutumia udhaifu wa mamlaka ya mawasiliano wanajifanyia wapendavyo.
TCRA NJOONI MTUPE TAARIFA SAHIHI YA UHUNI HUU!
 
Mm leo nimejiunga cha MB 200 kwa jero bora ya hiki lakini kuna possibility nikawa mteja wa #zantel smat4n bila ya bundle ya kutosha yaaani MB,GB ni kaz bure.....huu ni upuuz na utumwa wa kifikra #neo- colonializm imerud kwa mlango wa nyuma
 
Wana akili finyu sana hawa.. Yani hata logic ndogo wanashindwa kutumia tu.
Mm na wasi wasi watu wanaowapangia strategy za business hawako vizuri kichwani. Haihitaji kufikiri sana kujua kuwa wanachofanya ss hivu kitashusha sana soko lao na namba ya wateja.
Subiri nianze mapema kuactivate line zangu zingine. Majanga haya. Tunarudishwa nyuma sana. Sasa source kubwa ya information wanafanya inakuwa ngumu kuaccess which means bila urahisi wa flow of information itakuwa ngumu sana kwa Sisi kupiga hatua kwenda mbele

Ukiiwaza nchi yetu hii sana unaweza tokwa na chozi angalau jicho moja kama sio kuangua kilio kabisa kama mtoto mdogo.
WaJinga sana wanawaza pesa ya haraka tu
 
Mi nimtumiaji wa voda kwa muda mrefu lakin kwasasa nahamia airtel nimeshindwa yaan kifurushi cha buku MB 8?
 
Kwa sasa vifurushi vya voda kuanzia 500 mpaka 1000 vinatoa bando yenye mb8. katika hiki kipindi cha mitandao ya kijamii na ulimwengu wa internet kwa ujumla hamtutendei haki wateja wenu this is too much.

Imagine kipindi cha 100mb zilikua zinaisha ikaja 50 tukawa tuna bajeti ila kuanzia jana 8 mb mtatumia mtandao wenu wenyewe. mimi najitoa.

goodbye vodacom.

vodacom kazi ni kwako.
 
Mimi nipo na Vodacom bila kikomo kwa buku tu ...haki akweli kifurush hicho kimenifanya nidownload hadi movie kumi per day kwenye cmu na kuhamishia kwenye PC..hapa nazungumzia movies zenye 600mb- 1.9gb..!! napata raha..download speed napata hadi 1.7mb..
 
Mimi nipo na Vodacom bila kikomo kwa buku tu ...haki akweli kifurush hicho kimenifanya nidownload hadi movie kumi per day kwenye cmu na kuhamishia kwenye PC..hapa nazungumzia movies zenye 600mb- 1.9gb..!! napata raha..download speed napata hadi 1.7mb..

Triple G unatumia app gani?!
 
Last edited by a moderator:
Shobo za kuPost uzi bila sababu za msingi naona utapungua ss
 
G O O D B Y E E E
VODACOM
KAZI IMEWASHINDAAAAA
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
WEWE UNAEJIITA MARKETING MANAGER......HUU
SIO UBUNIFU ILA NI UMBUMBUMBU
MB 8 ............NAZIPELEKA WAPIIIIIIIII HATA
MUKTASARI WA GAZETI LA Mwananchi sipati
 
Jana thu nimethajiri lain mpya ya Voda daah thatha thijui niirudithe
 
Back
Top Bottom