Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

G O O D B Y E E E
VODACOM
KAZI IMEWASHINDAAAAA
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
WEWE UNAEJIITA MARKETING MANAGER......HUU
SIO UBUNIFU ILA NI UMBUMBUMBU
YOUR FIRED!!!!.......... 👹 📌 🔧
MB 8 ............NAZIPELEKA WAPIIIIIIIII HATA
MUKTASARI WA GAZETI LA MWANASPORT SIPATI
 
Mimi ninachungulia tu! ila tujiulize watanzania wangapi wanatumia internet?
 
Mkuu hebu subiri kidogo.. Maana na leo Tigo wamefanya kama Voda jana.. Subiri uone kesho Airtel kama nao wataongeza..
 
Yaani hawa jamaa mbona marketing strategies zipo za kutosha. Hebu huyo marketing manager aje hapa nimpe akili asibweteke na plan za kipu.mbavu!
 
Mkuu hebu subiri kidogo.. Maana na leo Tigo wamefanya kama Voda jana.. Subiri uone kesho Airtel kama nao wataongeza..

uwiii wakipunguza wakati wako ktk hii promosheni ya "yatosha zaidi" mbona na wao watakuwa viazi, mmmh!! kunani kinaendelea!!!
 
Hivi haka kamtandao kapya kakiwapokea nyie wakimbizi wooote na kuwapa hifadhi si itakua poa? Hebu wana Smart Kujeni huku kupokea wakimbizi kwa 500=1gb
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom