Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Jamani hii mitandao nishida sana,nimejiunga tigo bima nimeugua nimepeleka makaratasi ya hosptal ili nipate fidia yangu ya tigo bima pona wakakataa eti mpaka nilazwe ndo naweza rejeshewa gharama zangu.
Nimemindi kweli nikaamua nijiondoe mana nakatw kila mwezi alafu pesa yangu hainisahdii,wanadai nikijiondoa sitolipwa wala kurudishiwa michango yangu ya mwaka mzima,sasa nashindwa elewa hii inakuwaje niwachangie wao wapate pesa mimi nipate mashariti kwenye pesa yangu?
Mwenye uelewawa na utaratibu wa kujitoa na kurudishiwa michango yangu ya kila mwezi tafadhali.

Rwankomezi pole, usiwe unajiunga na kitu kabla ya kufanya uchunguzi wa kutosha na kuridhika na kile utakachopata.

Anyway, fanya mpango na Dr unaemjua akuandikie report ya kulazwa na makorokoro mengine alafu upeleke wakufidie hela yako alafu JITOE!!!
 
Last edited by a moderator:
Airte bando la wiki 900, mb800

run code zifuatazo

kwa dk *148*12# DK Kibao

kwa intanet *148*88# OMG
 
Ajabu sana tz viongozi wanafanya biashara na haya makampuni ya simu za mikononi ndio maana gharama zinaongezwa kinyemela viogozi wamekaa kimya.Jiulize mtumiaji atalazimishwaje kununua bando yenye muda wa maongez,sms na internet badala ya kupewa option achague huduma anayotaka kulingana na mahitaji yake. je ni wangapi wenye simu za kutumia internet?. je hiyo budle ya internet isipotumika zinaenda wapi, na sms zinazobaki zinaenda wapi kama sio wizi wa mchana ni nini.utashangaa unalazimishwa kutumia bundle ndani ya muda viginenvyo unaporwa bila taarifa hata kama hukutumia kutokana na dharura kwa mfano maeneo mengi umeme unakatika mtu hawei kuchaji simu yake na kuitumia matokeo yake anakatwa budle yake yote. huu ni wiziiiiiiiiiii.
 
makamba hawezi kazi alafu anataka uraisi tulifanya kosa kumchagua jk haturidii tena kuchagua masharobaro.
 
Wewe huwezi kushindwa kuonekana humu kwani umeanza kuonekana humu kwa kutumia moderm na kifurushi cha 30,000 kwa mwezi sembu hizi CHEKA

Mhhhh?sijawahi kununua kifurushi cha mwezi hata siku moja natumiaga hizi hizi za kina sie
 
Nimeshangaaa sana sana yaani mafuta yamepungua bei basi jamaa wameibukia kwengine kabisa, shiiitttt
 
hakuna huduma ya sm yenye manufaa kwa mteja,zote zipo kwa ajili ya kumnyonya mteja!!!
 
Kwa sasa vifurushi vya voda kuanzia 500 mpaka 1000 vinatoa bando yenye mb8. katika hiki kipindi cha mitandao ya kijamii na ulimwengu wa internet kwa ujumla hamtutendei haki wateja wenu this is too much.

Imagine kipindi cha 100mb zilikua zinaisha ikaja 50 tukawa tuna bajeti ila kuanzia jana 8 mb mtatumia mtandao wenu wenyewe. mimi najitoa.

goodbye vodacom.

kumbe nilistuka sana kuhamia airtel mapema,
sasa situmii tigo wala voda, tupa kule
 
Happy birthday
 

Attachments

  • 1423737904267.jpg
    1423737904267.jpg
    42.9 KB · Views: 206
Mi kwa tigo uwa najaza cha University bundle mitaa flan japo sio mwanachuo! vifurushi vingine majanga

na wewe kuja kuongea hapa so what? si ufanye kivyako; lazima ujimwage hapa ili wajue??

gademu.....le mburulazzzzzz..
 
Last edited by a moderator:
nakushauri nunua mb kivyake na bando la sms + calls kivyake kama mimi..

nanunua bando la mb 300 kwa sh 400 kwenye airtel kisha nanunua bando la calls na sms kwa 400

ngoja na mm nihamie airtel...hivi bando airtel unajiungaje na hilo la 400 ni muda gani lina expire?!
 
na wewe kuja kuongea hapa so what? si ufanye kivyako; lazima ujimwage hapa ili wajue??

gademu.....le mburulazzzzzz..

Is it a secret? i am not selfish! tunaumizwa sie walalahoi lazima tuambiane jinsi ya kujikwamua! nyie ndo uwa mnabandua matangazo ya nafasi za kazi ili eti 'kupunguza competition'
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh?sijawahi kununua kifurushi cha mwezi hata siku moja natumiaga hizi hizi za kina sie
Aisee nadhani watarudisha tu maana wakati mwingine wanabip kuona matumizi ya wateja na wakiona watu wengi wana afford ndio inakuwa nitolee, by the way ingekuwa angalau hata 50 to 100 Mb per day wanatoa inatosha especially kama mtu yupo busy na kazi na zingine kibao zinabaki lakini kama mtu muda mwingi simu ipo mkononi hapo inakuwa shid
 
Back
Top Bottom