Uko wapi?
Sehemu gani?
Kuna starbucks kwenu huko?
Tafuta Starbucks unipeleke nikanywe kahawa.
Shukran nimeipata hii mzeeMugah di matheo ukuje hapa ujipime kuna fursa adimu ya kumtongoza FaizaFoxy [emoji23]
FaizaFoxy mchakato unaanza soon..Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Bado unaruhusu kutongozwa???"dirisha" ndiyo nini wewe?
Au ndiyo kutongoza kwako huko?
Angalia Avatar uone n kazi biashara gani nafanyaUna hela wewe?
Nenda Dm uweke namba ako nkupige pesa ya bando kwanzaUna hela wewe?