Silali kabisaaa usingizi sipati ILA nakuota.Pitia uzi uweke dau lako.
NakaziaMistari haina vina.
Hata Konde walikataaa ila ndio ametoboa. Kaa utulie unasoma bila miwani[emoji16]Mistari haina vina.
Ooh! Hii BSS wewe ni nani ukiacha master jei[emoji2089][emoji2089]Nakazia
We bibi ntakupata tu, nakutafitia ndelePitia uzi vizuri uone wenzako walivyoshusha mistari yenye vina.
Bado nasubiri.
Kazi uitowe wapi wewe, kula kulala kwa shemeji.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Pitia uzi vizuri uone wenzako walivyoshusha mistari yenye vina.