[emoji2089][emoji2089]Hata 50 bora haumo.
Mbon umefunga PMWale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo
Tena watamu kinoma jaribu kuwaonjakumbe ma-bibi nao wana ladha
hivi kuna wazee wanaomtongoza bibi kizee kama wewe? tena binti wa uswahilini ambaye.......kama mjuavyo.Sunna ya mama'ko?
Sasa we si useme nani unamtaka humu, tunakutongoza af hutoi majibuKazi uitowe wapi wewe, kula kulala kwa shemeji.
Faiza fox mtamu nyie, hamjui tu niulizeni mmAhsante kwa taarifa, tutalifanyia kazi.
[emoji23]Kazi uitowe wapi wewe, kula kulala kwa shemeji.
@Gwaji gal analijua hili??Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
Bibi mdini wewe balaaaaaAhsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.