Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 783
- 3,666
Mimi nikinywa maji nakuona kwenye glass, siku yangu haijakamilika kama sijapitia nyuzi zako Jf, nikubali Faiza,
Wewe ndo Bi Aisha wangu,
Penzi langu kwako ni la milele km kisima cha Zamzam,
Imani yangu kwako ni kubwa zaidi ya Nabii Ibrahim,
Kama ningekua Nuhu, kwenye safina ningetaka tubaki wawili tu.
Nitalilinda penzi lako kwa ujasili kama khalid bin walid,
Nitandamana na wewe km Abuubkar na Mtume pangoni,
Ndugu zangu watakupokea vyema kama Ansari wa madina kwa Muhajirina,
Nipende Faiza, sitakua na furaha hata nikiwa Firdaus kama sitakua na wewe,
I love youuuu Faiza