FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
- Thread starter
- #1,841
Jifunze Kiswahili kwanza, ndiyo mistari yako ya kutongozea hiyo? Pitia uzi ujifunze wenzako wanavyomwaga mistari.wewe mama una mikwara ntashangaa sana kama na wewe hua unavaaga tule tuyeboyebo twenye kamdoli kenye maskio.
Manake kwa mkwara huu na tuyeboyebo uto hauendani kabisa..