Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Bibi atakuwa hajatongozwa/amemiss kutongozwa muda mrefu,ameamua kujipigia promo. Waswahili husema "ng'ombe hazeeki maini"🤭
 
Bibi atakuwa hajatongozwa/amemiss kutongozwa muda mrefu,ameamua kujipigia promo. Waswahili husema "ng'ombe hazeeki maini"🤭
Siku hizi kuna kutongozana?

Siku hizi wanawake na wanaume wanajiuza nje nje.
 
Sasa hapa mama yangu amefikaje tena hapa. Ebu tukosoane kwa stahaa (in kingai wa ccm voice)
Sasa si nakuonesha kuwa umelala nipo mbele zaidi ya huo uzi wako, unataka kula tunda masihara yake ni Dirham tu.

Una Dirham wewe?

Nikome, mimi siyo mama'ko, kama mama'ko unaweza kumwambia vile, majanga basi.
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Wanaokutaka wanaokupenda waje wakutingozee 🎼🎼🎵
 
Back
Top Bottom