Mngh!
Sawa mkuu ni waziri mkuu.Asante sana BD
Nitaku kassimu Majaliwa baadaye
Aaaanh! aanh! nimeguna tuVeeepeee
Lol.Siujuwi, ushawahi kuucheza na ********?
Sema kweli akiiNakupenda
Veeepeee
MfyuuuuuuuShikamoo we baba
Yap PM
Mfyuuuuuuu
Hahahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa nguvu naona mtekaji amekuachia sasa
Mmmh mmmh mmmhAaaanh! aanh! nimeguna tu
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Kweli vileSema kweli akii