Mahari zingine ni majanga!

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,300
2,000
Hata Shetani kaandikwa kwenye Bible. Hata habari za Sodoma na Gomora zimeandikwa kwenye Bible na Quoran pia if we go down to that level.

In the Holy Quoran imeandikwa, siku moja Prophet Muhammad, peace be upon him alienda kumtembelea mtoto wake wa kuasili ( Adopted son ) alieitwa ZAYD IBN HARITHAH, Kwa bahati mbaya au nzuri hakumkuta Zayd ibn HARITHAH Bali alimkuta mke WA Zayd alie itwa ZAYNAB BINT JAHSH.

Kwa bahati mbaya au nzuri ZAYNAB BINT JAHSH hakuwa amevaa mavazi ya kujisitiri . Prophet alipo uona uzuri WA ZAYNAB akapendezwa Sana na akamsifia ZAYNAB Kwa uzuri wake.


Mume WA ZAYNAB alipo rejea nyumbani, ZAYNAB akamsimulia mumewe jinsi Prophet alivyo msifia uzuri wake.

Zayd aliposikia maneno hayo akaenda hadi nyumbani Kwa mtume na kumwambia " MZEE KAMA UMEMPENDA MKE WANGU MIMI NIPO TAYARI KUMTALIKI ILI WEWE UMUOE" Mtume akamwambia " HAPANA MWANANGU USI MTALIKI MKEO".

Zayd aliporejea nyumbani kwake akamtaliki mkewe.

Baadae Mtume akamuoa ZAYNAB BINT JAHSH.

Swali kwako, hivi mtoto WA madrassa anapokuwa anakariri kisa kama hiki anapata mafundisho gani ya kiroho? What is the spiritual significance of this scenario?
Tena shetani kwa mujibu wa biblia ndiyo mungu wa dunia. Sikushangai.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom