Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Peke yangu au na Mshenga!!?
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
 
QUOTE="maxime, post: 34497982, member: 368374"]
Ndio hatua za kuwa kiben 10 wako...
[/QUOTE]

Upo tayari kugongwa? Maana nasikia kazi kubwa ya vi ben ten bi kugongwa.
 
Ndio hatua za kuwa kiben 10 wako...
Hapo umedhihirisha "upande" wako wa kugongwa. Samahani sifanyi kazi hiyo.

Huwa unagongqa na dildo saizi gani? Nikutafsirie wa kugongwa mwenye saizi uipendayo.
 
Anza Kwa kutuma sadaka yako kituo cha yatima. Usijidai una pesa kumbe hata za kutolea sadaka huna.
Nitafute nikupe ukatoe sadaka... mim siamini kwenye sadaka. Naamin kwenye kuhonga tu....
 
Hapo umedhihirisha "upande" wako wa kugongwa. Samahani sifanyi kazi hiyo.

Huwa unagongqa na dildo saizi gani? Nikutafsirie wa kugongwa mwenye saizi uipendayo.
Kumbe ndio michezo ya wanaoamini Quran.... aya ya ngapi? Vipi Mudi nae alikuwa anafanywa hivyo na bi Khadija????
 
du hii kali kumbe na huku pia watu wanataka sogeza mali za watu jf hatar sana haya wanakuja bi mkubwa wanaangalia exclusive ya manara akimjibu muro
 
Nikinywa maji nakuona kwenye glasi, nikijiangalia kwenye kioo naona sura yako, macho yako mazuri yananiita ita. Rangi yako ya chocolate naipenda sana

Nikilala sipati usingizi mpaka niangalie picha yako, mapigo yangu ya moyo yanadunda kwa kutaja jina lako, unajina zuri sana natamani kila muda nikuite.

Kama ingekuwa naweza kuufungua moyo wangu ningekuonyesha nilivyokuhifadhi moyoni mwangu, uone jinsi gani ninavyokupenda.

Nakupenda sana mrembo.
(Just joking, usije ukanikubalia)

Sent using Jamii Forums mobile app
bilashaka hauna mpinzani na kombe ushapewa. leo tupe mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom