Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Mkuu katika siku umeanzisha nyuzi ya kitoto ni leo?

Hii nyuzi imekaa kikahaba sana, hua nimekueka group la wanawake wenye ubongo mkubwa sana humu Jf ...but not anymore

Naanza kuamini wengi wa wasichana jf hawana utofauti na wale wa badoo,sema ndo vile baadhi wanajitahidi sana kujificha hadharani ila ukimuotea angle yake utakuta ni walewale...leo mkuu umeteleza sana,au ulikua unapost ktk ID ya matukio bahati mbaya umepost kwa ID yako ya heshima?

Narudia tena...Huu uzi ni wa kitoto mno...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kwa hiyo na wewe umekaaa ukafikiria ukaona amedhamiria kabisa kuanzisha huu Uzi??

Haikukupitikia kwamba she is joking?? She is a person of her own status, she knows her standing and she would never diverge.

Nina imani kubwa mtu mzima ameamua kuchangamsha genge na vijana.

Humu hatutakiwi kuwa serious kihivyo mzee hususan MMU. We are having fun here bro
 
IMG_20190108_153455.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naelewa lakini kwa kaliba ya watu wengi walivyo hapa hawataambulia elimu wala kujifunza kitu.

Ingetosha kufikisha ujumbe wa watu kuheshimu nyuzi za wengine bila kuingiza mambo yao yasiyohusu mjadala.
Wavurugaji wapo wengi na sio wote wanatongozana. Hii haitakua njia bora ya kutatua hilo tatizo.
I am pretty sure mkubwa ameamua kuchangamsha tu genge.

I still believe we are ghosts in here despite few of us knowing eachother.
 
I am pretty sure mkubwa ameamua kuchangamsha tu genge.

I still believe we are ghosts in here despite few of us knowing eachother.

Unaweza kuamua kuchangamsha genge kwa staha Chief, hapa yataibuka mambo ya kijinga jinga sana tu.
Kuna jamaa yangu anatumia ID ya Watu8 , naipenda sana signature yake, naiweka hapa chini

"Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"
 
Mkuu, kwa hiyo na wewe umekaaa ukafikiria ukaona amedhamiria kabisa kuanzisha huu Uzi??

Haikukupitikia kwamba she is joking?? She is a person of her own status, she knows her standing and she would never diverge.

Nina imani kubwa mtu mzima ameamua kuchangamsha genge na vijana.

Humu hatutakiwi kuwa serious kihivyo mzee hususan MMU. We are having fun here bro
Mkuu,dada mkubwa kateleza aisee! Uhakika wangu ni kukosea ID ya kutumia! Naanza amini ID yake ya matukio ipo humu bila kufahamika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha we nae bhana don't take life too seriously this is chitchat, you don't like it kindly skip the thread
Unaweza kuamua kuchangamsha genge kwa staha Chief, hapa yataibuka mambo ya kijinga jinga sana tu.
Kuna jamaa yangu anatumia ID ya Watu8 , naipenda sana signature yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom