Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Pole sana. Lakini mbona mengine huelezi? Mungu amrehemu Kibonde na Mungu amrehemu Hussein Baniani.

Sijawahi kusikia kipofu akiacha gongo lake.

Wewe hujaendesha kipindi cha kitimoto, wala hujawahi kuletwa na kaka zangu, acha uongo. Ulikuwa huna cha kufanya ukawa unajipendekeza tu Masai Studios. Wakakutilia cross kwa Kibonde DTV.

Tena washukuru sana wadongo zangu Meb Al Hadad na Alioki.
Duh, Mpenzi Faiza, ni vile tuu hunijui vizuri,
Mimi ni Msukuma niliyezaliwa Ocean Road
Baba na mama watumishi wa umma wa ile Idara!.
Nimesoma O'Bay-Tambaza-Ilboru-TSJ. Mimi ni wa 60s, Ephraim Kibonde ni wa 70s, Kibonde sio tuu ni mdogo wangu sana!, mimi na Kibonde tuna 5-year age gap!, na amini usiamini mimi nimemfundisha kazi Kibonde, japo wote ni watangazaji, kwenye hizi fani za vipaji, Mwalimu anakuja kuwa cha mtoto mbele ya mwanafunzi. Hata katika Muziki, Mwalimu Guromo wa Nuta Jazz, Juwata Jazz, Ottu Jazz na mwisho Msondo Ngoma, baada ya kuimba kwa miaka 40, bila kuwa na uwezo wa kununua motokari, ni Diamond Platinumz amekuja kumnunulia gari lake la kwanza katika maisha yake, hivyo Ephraim Kibonde alikuja kupata umaarufu kuliko waalimu wake na kaka zake!. Mimi niliingia kwenye fani ya utangazaji kwa kusomea na kwenda shule, Kibonde aliingia direct kutoka kwenye u MC na sijui kama alikujaga kwenda shule zile za brush up!.

Wakati mimi nasoma Primary O-Bay, Kibonde (RIP) yuko Chekechea, wanakaa mtaa wa Uganda Evenue. Mimi niko darasa la 6, Kibonde anaanza darasa la kwanza!. Wakati mimi niko sekondari Tambaza, naanza form 1, Kibonde (RIP), alikuwa primary Muhimbili darasa la 3!, we share the same compound. Mimi namaliza Tambaza form 4 nakwenda kuanza A level Ilboru hadi namaliza, Kibonde hajamaliza hata primary!.

Mimi nimemaliza shule, nimeenda chuo nimemaliza, nimeanza kazi ya utangazaji RTD mwaka 1990
Kibonde anaaza sekondari ya Shaaban Robert.
Mwaka 1994 TV zinaanzishwa Kibonde hajamaliza sekondari!.

Nimefanya kazi miaka 5 RTD, nikafatwa
Na mhindi wa DTV Shabbir Dewji, na baada ya miaka miwili DTV ndio Ephraim anachukuliwa na Shabbir Abji CTN, Wakati wote wa Kiti Moto, Kibonde alikuwa bado, CTN ime merge na DTV kuanzisha Channel Ten 1997 nimemfundisha kazi Kibonde for 2 years hadi 1999 mimi nikarudi serikalini kuanzisha TVT!.

Kitu ambacho sii kweli, usidhani Masai Studio waliniokota, nilikuwa nafanya Kiti Moto nikiwa na kazi yangu DTV tena kwa taarifa yako sikuanzia na Kiti Moto, kipaji changu cha Talk Show Host kilivumbuliwa na mama mmoja wa Kihaya, Beatrix Mugishwage na Mjerumani mmoja, Wolfgang Baraniek kupitia kipindi cha "Mada Moto Uchaguzi 95", ndipo Masai Studio wakaniona baada ya uchaguzi wakaanzisha Kiti Moto.

Kitu ambacho Masai Studio walinisaidia sana ni mwaka 1997, Tajiri Reginald Mengi alikinunua Kiti Moto toka DTV kikahamia ITV, mimi ikanibidi kuacha kazi DTV ili niajiriwe ITV, kilichotokea naomba nisikiseme ila nikajikuta jobless, Jove Consalves wa Masai Studio akaokoa jahazi, hadi kipindi kilipo kufa, akanipele mimi na familia yangu tukahamia UK, then US, nimekuja kurudi Bongo 1999 kuanzisha TVT na hadi leo familia inaishi US!.

Katika kujifagilia ili kukubaliwa na Faiza Mwaka 2003 niliachishwa kazi TVT kwa summary dismissal kwa kosa la insubordination, and it was a
blessing in disguise maana ndio niliabzisha PPR, na mimi kwenda UDSM sheria kwa miaka 4 ya LL.B tena ni with honours, hadi 2007, 2008 nikajiunga JF na kuanza kumzimia FF kwa hoja zake na ile avatar yake yenye hijab na wanja, sura kama Siti Binti Saad au Um Kuluthum, mimi huniambii kitu!.

Kwa Kiti Moto, nawashukuru sana wote kuanzia Ali Oki, Jove Conslves, Eric Fernandez, Babu Joshua Mwaituka, Agnelo, Farid Jabir, Islam Barafaa, Sheikh Jabir, Mzee Shaffi Adam Shafii, Fresh Nzowa, Silvia Mndala, Nuri, etc.

Panapo majaaliwa mwaka huu ndio mwaka wangu wa mwisho kwenye fani, nimetumikia miaka 30, hivyo najipanga kufanya farewell.

Ukinikubalia, wewe sasa ndio unakuwa wa kiutu uzima wa kufa na kuzikana.
P
 
Naomba kukiri kuwa ni kweli mimi kwako sina hadhi kutokana na umri, lakini kwa Muislamu safi wa swala 5 kama wewe, usiangalie hadhi yangu, angalia moyo wangu, kama jinsi ile Bi Khadija akiwa na umri wa miaka 40, alimkubalia Mtume Mohammed (SAW) akiwa na umri wa miaka 25 tuu ingekuwa ni enzi hizi, Mtume angeweza hata kuitwa ni ki ..cha Bi Khadija!.

Kwa faida ya wasiojua, mke wa kwanza wa Mtume Mohammed (SAW) ni Hazrat Khadija, ambaye alijulikana zaidi kwa jina la Tahira, ambaye ni binti wa Bi.Fatima bint Za’idah na baba yake alikuwa mfanyabiashara tajiri na kiongozi Mzee Khuwaylid ibn Asad ibn Abdul-Uzzi. Bi Khadija aliolewa kwanza na Abu Hala ibn Zarrara Tamimi akazaa naye watoto wawili wa kiume, Hind na Harris kisha mumewe akafariki, Bi Khadija akaolewa ndoa ya pili na mwanaume tajiri Atiq ibn A’idh ibn Abdullah Al-Makhzumi na kuzaa binti Hindu, mume wa pili naye akafa bila kupata mtoto wa kiume Bi Khadija akarithi mali nyingi hivyo kuwa ni mwanamke mjane tajiri, ndipo akaolewa na Mtume Muhammad (SAW) wakati huo Bi. Khadija akiwa na umri wa miaka 40 huku Mtume akiwa just 25 years ambapo enzi hizo Mtume bado hajawa Mtume na ni Bi Khadija ndie alimuanza!.

Age difference kati ya Mtume Mohammed (SAW) na Bi Khadija ni 15 years, hivyo wewe Faiza kama ni kunizidi umri I guess haipiti hata miaka 5!, ila hata ingekuwa 15!, mimi nakuapia Walahhi ukinikubalia hata dini nabadili na kusilimu!.

Kupendwa pendo la kweli na mtu kama mimi ambaye nilitangaza kutafuta mchumba kutatokea foleni ndefu kutoka mitaa ya hapo kwenu Gerezani hadi Feri!.

Hiyo ya kuacha...nakuomba unijaribishie tuu ndio utajua ule ni urongo na uzushi ila kiukweli kabisa nakupenda we Faiza!, tena nakupenda kwa dhati!, nisichokijua ni marital status yako, mimi kwa kabila langu, hatuna mwisho wa idadi, ni uwezo tuu.
P
unabadilisha dini na kuanza kuabudu jiwe la makka kisa hicho kibibi faiza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unabadilisha dini na kuanza kuabudu jiwe la makka kisa hicho kibibi faiza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi upofu, ukipenda chongo huita kengeza, wakati kwa mmoja ni kibibi, kwa mwingine ni kigori/kigoli maana kule kuna elasticity, hakuzeeki na raha ya kule sio umri wala rufundi bali the atitude of mind, ukimpenda Faiza, ukimpata utafurahi regardless ya umri wake, kaolewa mara ngapi, kazaa watoto wangapi etc.

By the way kuna member humu alikuwa akiitwa
Gombe lenye Sugu, sijui kama bado yupo, kama yupo, watu wa kusubiria tutaendelea kusubiria, si unajua tena vyakula vingine, havinaga makombo, ni kama tende na halua.
P
 
Mapenzi upofu, ukipenda chongo huita kengeza, wakati kwa mmoja ni kibibi, kwa mwingine ni kigori/kigoli maana kule kuna elasticity, hakuzeeki na raha ya kule sio umri wala rufundi bali the altitude of mind, ukimpenda Faiza, ukimpata utafurahi regardless ya umri wake, kaolewa mara ngapi, kazaa watoto wangapi etc.

Duh
 
Pascal Mayala Unanikosha na sera zako!!! Amakweli ukitaka kumla Bata usimchunguze
 
Bibi yangu FaizaFoxy kabla sijakutongoza naomba kujua, wewe ni muumini wa style namba ngapi kati ya hizi?

IMG_20200111_075902.jpg
 
Mapenzi upofu, ukipenda chongo huita kengeza, wakati kwa mmoja ni kibibi, kwa mwingine ni kigori/kigoli maana kule kuna elasticity, hakuzeeki na raha ya kule sio umri wala rufundi bali the altitude of mind, ukimpenda Faiza, ukimpata utafurahi regardless ya umri wake, kaolewa mara ngapi, kazaa watoto wangapi etc.

By the way kuna member humu alikuwa akiitwa
Gombe lenye Sugu, sijui kama bado yupo, kama yupo, watu wa kusubiria tutaendelea kusubiria, si unajua tena vyakula vingine, havinaga makombo, ni kama tende na halua.
P
aisee ngoja aje akusahihishe, altitude - attitude

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masiala masiala mtakuja kumla Mtani wangu Faiza!! Masiala sio mazuri ujue kwenye issue sensitive kiasi hiki...

Back
Top Bottom