Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Naomba kukiri kuwa ni kweli mimi kwako sina hadhi kutokana na umri, lakini kwa Muislamu safi wa swala 5 kama wewe, usiangalie hadhi yangu, angalia moyo wangu, kama jinsi ile Bi Khadija akiwa na umri wa miaka 40, alimkubalia Mtume Mohammed (SAW) akiwa na umri wa miaka 25 tuu ingekuwa ni enzi hizi, Mtume angeweza hata kuitwa ni ki ..cha Bi Khadija!.

Kwa faida ya wasiojua, mke wa kwanza wa Mtume Mohammed (SAW) ni Hazrat Khadija, ambaye alijulikana zaidi kwa jina la Tahira, ambaye ni binti wa Bi.Fatima bint Za’idah na baba yake alikuwa mfanyabiashara tajiri na kiongozi Mzee Khuwaylid ibn Asad ibn Abdul-Uzzi. Bi Khadija aliolewa kwanza na Abu Hala ibn Zarrara Tamimi akazaa naye watoto wawili wa kiume, Hind na Harris kisha mumewe akafariki, Bi Khadija akaolewa ndoa ya pili na mwanaume tajiri Atiq ibn A’idh ibn Abdullah Al-Makhzumi na kuzaa binti Hindu, mume wa pili naye akafa bila kupata mtoto wa kiume Bi Khadija akarithi mali nyingi hivyo kuwa ni mwanamke mjane tajiri, ndipo akaolewa na Mtume Muhammad (SAW) wakati huo Bi. Khadija akiwa na umri wa miaka 40 huku Mtume akiwa just 25 years ambapo enzi hizo Mtume bado hajawa Mtume na ni Bi Khadija ndie alimuanza!.

Age difference kati ya Mtume Mohammed (SAW) na Bi Khadija ni 15 years, hivyo wewe Faiza kama ni kunizidi umri I guess haipiti hata miaka 5!, ila hata ingekuwa 15!, mimi nakuapia Walahhi ukinikubalia hata dini nabadili na kusilimu!.

Kupendwa pendo la kweli na mtu kama mimi ambaye nilitangaza kutafuta mchumba kutatokea foleni ndefu kutoka mitaa ya hapo kwenu Gerezani hadi Feri!.

Hiyo ya kuacha...nakuomba unijaribishie tuu ndio utajua ule ni urongo na uzushi ila kiukweli kabisa nakupenda we Faiza!, tena nakupenda kwa dhati!, nisichokijua ni marital status yako, mimi kwa kabila langu, hatuna mwisho wa idadi, ni uwezo tuu.
P
Ngonjera ndefuuu.

Mbona swali la pili hujajibu?
 
Aise bro umeporomoka mpaka bibie nahisi kawa pink kwa aibu! Tena yaonekana waijuwa Koran, what a big plus, tusubiri tusikilizie kama utapewa au la, life is too short to ignore beautiful and pretty petals like her...
Mkuu Jebs, kwa huyu bi dada, mimi siku nyingi nimekufa nimeoza, tena kwa sisi Wasukuma ndio tunaongoza kwa kupenda, moyo wangu umemdondokea!.
P
 
Mkuu MK 254, sio bila kujua Faiza anajua nilimpenda ile siku namuona tuu kwa mara ya kwanza, love at first sight, but very unfortunately mimi ndio nilikuwa nimetoka bush nikaletwa mjini na Kaka zake, nikaajiriwa na Masai Studio kuendesha kipindi cha Kiti Moto, hivyo kujua kuwa nampenda Faiza anajua.
P
Pole sana. Lakini mbona mengine huelezi? Mungu amrehemu Kibonde na Mungu amrehemu Hussein Baniani.

Sijawahi kusikia kipofu akiacha gongo lake.

Wewe hujaendesha kipindi cha kitimoto, wala hujawahi kuletwa na kaka zangu, acha uongo. Ulikuwa huna cha kufanya ukawa unajipendekeza tu Masai Studios. Wakakutilia cross kwa Kibonde DTV.

Tena washukuru sana wadongo zangu Meb Al Hadad na Alioki.
 
Naomba kukiri kuwa ni kweli mimi kwako sina hadhi kutokana na umri, lakini kwa Muislamu safi wa swala 5 kama wewe, usiangalie hadhi yangu, angalia moyo wangu, kama jinsi ile Bi Khadija akiwa na umri wa miaka 40, alimkubalia Mtume Mohammed (SAW) akiwa na umri wa miaka 25 tuu ingekuwa ni enzi hizi, Mtume angeweza hata kuitwa ni ki ..cha Bi Khadija!.

Kwa faida ya wasiojua, mke wa kwanza wa Mtume Mohammed (SAW) ni Hazrat Khadija, ambaye alijulikana zaidi kwa jina la Tahira, ambaye ni binti wa Bi.Fatima bint Za’idah na baba yake alikuwa mfanyabiashara tajiri na kiongozi Mzee Khuwaylid ibn Asad ibn Abdul-Uzzi. Bi Khadija aliolewa kwanza na Abu Hala ibn Zarrara Tamimi akazaa naye watoto wawili wa kiume, Hind na Harris kisha mumewe akafariki, Bi Khadija akaolewa ndoa ya pili na mwanaume tajiri Atiq ibn A’idh ibn Abdullah Al-Makhzumi na kuzaa binti Hindu, mume wa pili naye akafa bila kupata mtoto wa kiume Bi Khadija akarithi mali nyingi hivyo kuwa ni mwanamke mjane tajiri, ndipo akaolewa na Mtume Muhammad (SAW) wakati huo Bi. Khadija akiwa na umri wa miaka 40 huku Mtume akiwa just 25 years ambapo enzi hizo Mtume bado hajawa Mtume na ni Bi Khadija ndie alimuanza!.

Age difference kati ya Mtume Mohammed (SAW) na Bi Khadija ni 15 years, hivyo wewe Faiza kama ni kunizidi umri I guess haipiti hata miaka 5!, ila hata ingekuwa 15!, mimi nakuapia Walahhi ukinikubalia hata dini nabadili na kusilimu!.

Kupendwa pendo la kweli na mtu kama mimi ambaye nilitangaza kutafuta mchumba kutatokea foleni ndefu kutoka mitaa ya hapo kwenu Gerezani hadi Feri!.

Hiyo ya kuacha...nakuomba unijaribishie tuu ndio utajua ule ni urongo na uzushi ila kiukweli kabisa nakupenda we Faiza!, tena nakupenda kwa dhati!, nisichokijua ni marital status yako, mimi kwa kabila langu, hatuna mwisho wa idadi, ni uwezo tuu.
P
Kupendwa pendo la kweli na mtu kama mimi ambaye nilitangaza kutafuta mchumba kutatokea foleni ndefu kutoka mitaa ya hapo kwenu Gerezani hadi Feri!.

aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh kumbe wewe ni uchafu, vyema umejitambua.

Au wewe ulitokea kwenye nini?
unajua nilipotokea usitake kujitoa ufahamu, unadhani nilipotoka mimi ni sawa na kwako hapana, kwako naweza kupatemea mate ili nifanye yangu, na nitakuwa naupa mazoezi tu uume wangu wala si kukuweka akilini
 
Uliipotokea hapakutemewa mate? Umewahi kumuuliza mama'ko?

Wewe si ndiyo wale kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa mwamkie baba'ko.

Wewe ni zao la mtaji kiuno tu, huna zaidi.
 
Faiza hata mm nakupenda kwanza jina lako tu linanivutia kwa kweli, weweni tunu unayepaswa kutunzwa haswaa,Mwanamke uliyetimia kila idara hakika itakuwa ni bahati iliyoje kuwa nawe maishani mithili ya mfa njaa jangwani aliyeuona mtende, mapenzi ya kweli hayachagui umri, rangi wala kabila chambilecho kipendacho roho hula nyama mbichi mama, nikubalie nikuthibitishie pasina shaka yeyote juu ya haya niyasemayo kwani kwa yakini yanatoka ndani ya mtima wangu.

Una hela?
 
Uliipotokea hapakutemewa mate? Umewahi kumuuliza mama'ko?

Wewe si ndiyo wale kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa mwamkie baba'ko.

Wewe ni zao la mtaji kiuno tu, huna zaidi.
dah kumbe wewe si wa mtaji kiuno, unetokana na chupa sawa huwa natesti watu kama wewe japo kujua ladha yenu ingawa nasikia mliotoka kwenye chupa maji mengi , usijali nitatumia hata taulo kama tishu zitadunda
 
Ngonjera ndefuuu.

Mbona swali la pili hujajibu?

Sisi Wasukuma tukipendaga ndio tulivyo tena ni afadhali yangu mimi ni Msukuma wa mjini, ingekuwa ni yule wa kijijini, nini ngonjera, anakuimbia kabisa!.

Swali la pili nimekujibu para ya mwisho.

Wewe mwanaume rijali, ukituhumiwa kwenye public kuwa hujafanyiwa sunna, vipi utatoa ili uonyeshe kukwepa aibu au?

Naomba nipatie fursa to prove them wrong!.

Hapa nilipo kwanza kwa idadi tuu ya wale wa damu yangu kwa mujibu wa mama zao, walio rasmi ni 8!, unofficial sijahesabu!. Kwenye hao 8, ili kutowachosha wamama, ni 3 wamesaidiana. Bi mkubwa 2, wakati 3, na huyu bi mdogo 3, na kwa vile idadi ya dini yako mwisho 4, nafasi yako ipo.

Kiukweli Faiza kupendwa ni jambo jema tena ili uniamini kuwa nakupenda kweli, nakuapia kwa Mwenyeenzi Mungu mwenyewe Allah Subhanahu wa ta'ala mwenyewe kabisa.

P
 
Back
Top Bottom