Una pesa wewe?Kama kukupnda wew n maradh faiza..sihitaji nitibiwe bora niwe chakaram nipigae watu mawe ...kuwa wangu mahamumu wewe isksmbue ...dawa yang ndogo faiza n mm nipendwe na we we
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sahv kufanya mapenzi na huyo unayemuita mume wako .ni halali ,sio dhambi mbona hamfanyi hadharani??Kama huwezi kutongoza hadharani ina maana ni haramu kutongozana. KwaninI kitu cha halali kiwe siri?
Unaweza kufanya mapenzi ( sex) na mume wako halali hadharani???Kama huwezi kutongoza hadharani ina maana ni haramu kutongozana. KwaninI kitu cha halali kiwe siri?
Mwenye mzigo wake nipo naye ananipepea na shungi huku vijana wakipambana vikali wakidhani wataonja ninachokula[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]nipo kuangalia atakayeibuka kidedea.
Sent using Jamii Forums mobile app
U mrembo mashallah! Wataanzia wapi kujizuia?Nataka niwafundishe heshima na adabu ya kuheshimu nyuzi na mada za watu. Utakuta jukwaa la siasa mtu eti anakutongoza. Alaaa.
Ooooh mpenz upooo [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Haha we nae bhana don't take life too seriously this is chitchat, you don't like it kindly skip the thread
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mafundisho hayo katika Uislam kama vile hakuna kutongozana kisiri.Unaweza kufanya mapenzi ( sex) na mume wako halali hadharani???
From profile picture to proper future
Soma post namba 700, nimekujibu hapo.Wewe sahv kufanya mapenzi na huyo unayemuita mume wako .ni halali ,sio dhambi mbona hamfanyi hadharani??
Vitu vingine haviitaji akili kubwa kuvichanganua ,tangu lini uliona watu wanatongozwa hadharani ,au unataka kuonyesha watu kuwa huku jf unakubalika!
From profile picture to proper future
Nimekuelewa mama, basi tuwe marafiki tu!!Naam. Hapo umenena.
Kihalali mimi ni mke wa mtu kwa hiyo inabidi ukae mbali sana na mimi. Niheshimu nikuheshimu.
waoo nimependa hiyo. na kutongoza kuna maana nyingi. lakini si kila kutongoza ni kharam. maana mnapoanza mahusiani si vema kila mtu atakiwa kujua ndio maana ni faragha. lakini mahusiano yanapokuwa ndipo sasa mnamamua kuhalalisha na kuufahamisha ulimwengu. na hasa mahusiono ya kileo. mpaka mnatambulishana kwa wazazi mlishamaliza kila kitu.Kama huwezi kutongoza hadharani ina maana ni haramu kutongozana. KwaninI kitu cha halali kiwe siri?
Mwaga darsa! utongozaji halali ndio unafanyikaje?Wafanye halali.
Soma post namba 700waoo nimependa hiyo. na kutongoza kuna maana nyingi. lakini si kila kutongoza ni kharam. maana mnapoanza mahusiani si vema kila mtu atakiwa kujua ndio maana ni faragha. lakini mahusiano yanapokuwa ndipo sasa mnamamua kuhalalisha na kuufahamisha ulimwengu. na hasa mahusiono ya kileo. mpaka mnatambulishana kwa wazazi mlishamaliza kila kitu.
1. urafiki, 2, upenzi, 3, uchumba 4. ndoa. mnakuwa marafiki ndio kutongozana kunaanza. mkikubaliana ndio marafiki wa karibu wanaanza kufahamishwa. wakati mwingine hata kama hamjakubaliana bado marafiki watafahamishwa. ndio maana wamekutongoza huko kwa PM sasa unatambia marafiki wa JF kuwa huwataki!! hehe ushanfaham?