Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Nataka nikufanyie wewe bby...
Nyie wapemba kwenu suna
Mbona nayaona Kanisani na mapadri, au huna macho:

1702471310035.png
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Faiza ni nini unatutafuta jamani wewe unajua tupo wengi tunaokutaka wakati huo huo hutueleza kwamba una mshikaji wako na mnapendana sana huoni kama watugombanisha naye bure?
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Hivi hawajui wewe ni kibibi kbs sema tu ni kikokoo kichangamfu kiajuza cha town?
 
Back
Top Bottom