Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Aina ya majibu yanayotolewa nyakati za hivi karibuni na huyu binti wa zamani yanaonesha hii karamu ishepata mlaji, wajuba jaribuni kwengine. Hili dirisha lishefungwa hivyo. Akufukuzae si lazima akwambie toka. Jiongezeni!
 
Hivi bado hajapatikana babu wa kumshawishi bibi amkubali? Kumbe humu wanaume hawajui kutongoza 🤣🤣🤣🤣
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Makasiriko hayo bila shaka yanatokana na mdororo wa mauzo ya tickets lkn leo zitanunuliwa na zitaisha.
Kilichopo Yanga wanajaribu kujitoa kwenye ushabiki wa kizamani.
Kuchambana kuzodoana na kujisifu sifa usonazo.
Mimi binafsi najinunulia tecket yangu leo.
Kimpira kila timu inahitaji mashabiki kwa kuhamasisha wachezaji.
Hilo la kufikiria pesa iliwahi kufanya hivyo Simba kupitia iwa msemaji wake mwaka juzi lkn hakuna kiongozi au msemaji wa Yanga aliyewahi Sema mchezo hautuhusu.
Ila mtu wa kutupiana naye vijembe kwa miaka hii pale kwenye uongozi wa Yanga hamtampata.
 
Kwanini bangi hailalishwi Tanzania?
 
Back
Top Bottom