Remmy acha kuingilia maneno bila kuwa na uhakika. Ulichokidakia hakina ukweli wowote na nakushangaa na wewe unakuja na maneno yako bila mpangilio.Hivi hakutaja kushukuru hata kidogo?
Yaani hakuutambua mchango wa Ruhazwe?
Nimeshangazwa.
Kweli tometofautiana duniani.
Remmy acha kuingilia maneno bila kuwa na uhakika. Ulichokidakia hakina ukweli wowote na nakushangaa na wewe unakuja na maneno yako bila mpangilio.
Hebu logout uje baadae achana na hawa watu wa ID tano tano watakugombanisha na sisi ndugu zako ujute nafsi.
Sawa bby wangu!Duuu..
Haya baadae my love!
Ila wewe nadhani hauna na kama unayo basi kwa hii ID yako hauko sawa!
Umeniboa coz umekuja na maneno ya ajabu ajabuuuuuu utadhani sio GT.
Iga mfano wa watu8 mkuu
Dah naogopa kusema hadharani!Ni nani huyo? Mbona intelijensia yangu haidaki?
Mkuu hakuna mahali nilipoonesha kufurahia...
charminglady,nasikitika kusema wewe na baadhi ya members wa Chit Chat hamjaonesha ukomavu wa utu katika shindano hili,hivyo kuwa Wanafiki wakubwa!
Ruhazwe JR alipata matatizo makubwa,na ninyi hamkutaka hata kumuelewa,na kuendelea kumshushia lawama,utafikiri ninyi si binadamu,na mmeweka mkataba na Mungu matatizo yasiwapate!
Huo si utu hata kidogo,na sidhani kama hizo zawadi ndizo ziliwafanya mkose utu kwa kiasi kile!
Mmekera sana aisee,na mumuombe radhi Ruhazwe JR kwa heshima mliyo mvunjia.
Shame on you!
Dah naogopa kusema hadharani!
Potezea Nicas Mtei hawa ni jamaa zetu sema ndio hivyo akija na ID nyingine analeta ujuaji akidhani hatumjui.
hilo halina ubishi mkuu,....lakini nadhani kuna haja ya mwenye tatizo na mimi aniface direct aniambie ni vip nimemkaa kooni,kama ikibidi nimwombe samahani,akishindwa anakua ananiogopa na anakua ni mzalishaji mzuri wa majungu,...nafahamu mambo mengine yanatokea kwa sababu maalumu.kwakua nimejaliwa pumzi mpaka leo ni vema mtu anivagae mwenyewe
Nawewe umemuona eeeh?
Nimemind kinyama aisee
Hahaha...nimeshindwa kumwelewa jirani yangu huyu kama anaChitChatika au yupo serious, maana hapo juu mhusika ambaye ndiye mleta mada kwa uwazi kabisa kaweka shukrani kwa kila mhusika aliyefanikisha kile kindumbwendumbwe chote....pengine hakusoma maneno yote!!!
Hivi hakutaja kushukuru hata kidogo?
Yaani hakuutambua mchango wa Ruhazwe?
Nimeshangazwa.
Kweli tometofautiana duniani.
watu8 wewe unafurahia haya?binafsi yananitia kinyaa....mi nadhani ni wakati sahih kwa yule mwenye tatizo na mimi anijie direct
Ni nani huyo? Mbona intelijensia yangu haidaki?
Ali edit baada ya kumkosoa!
Mwanzoni hakumtaja Ruhazwe JR wala wadhamini wa shindano hilo.