Mishahara ya viongozi wa Tanzania

rock17

Senior Member
Joined
Mar 31, 2017
Messages
157
Points
225

rock17

Senior Member
Joined Mar 31, 2017
157 225
Jamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.

Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?

Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
kwani hujui !! ndio sababu haongezi mishahara kwani anafikiri kila mtumishi ametosheka kama yeye !!
 

Mega Mind Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Messages
1,233
Points
2,000

Mega Mind Nyerere

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2017
1,233 2,000
Hiyo nayo ni siri kubwa Watanzania hatistajili kuijua!!! Tunajua mshahara wa Rais wa Marekani lakini hatujui mshahara wa Rais wetu!!!! Bill clinton ndiye alikwa Rais wa mwisho wa Marekani kupokea mshahara wa $200,000 kwa mwaka alipomaliza awamu yake ya miaka minane mwaka 2000. Kuanzia 2001 mshahara wa Rais wa marekani uliongezwa na kufikia $400,000 kwa mwaka. Kama kumbu kumbu zangi ni nzuri walidai wameoungeza maradufu kwa sababu ni miaka mingi imepita tangu nyongeza ya mwisho na pia gharama za maisha zimepanda sana. Lakini tukirudi kwa Rais wetu hatuujui mshahara wake!!! Mwe hii ni sirikali!!!
Ni kweli mkuu, Sio tu mishahara yapo mengi inabidi tuyajue na kuyafahamu kuhusu viongozi wanaotuongoza, kwa nchi kama marekani FBI wana taarifa za kina (detailed information) kuhusu viongozi wa ngazi za juu, na taarifa haziishii tu kwenye mishahara ni mpaka kwenye mali wanazomiliki na vyanzo vyao vya mapato. Lakini hapa nchini sijajua kama unaweza kumchambua kiongozi na kujua taarifa zake, hapa ndipo unakuta tunapata viongozi ambao sio makini maana hatuna taarifa zao kamili.
 

Pelekaroho

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Messages
1,580
Points
1,250

Pelekaroho

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2010
1,580 1,250
Niliona hapa, kama sikosei kwenye topic moja kuhusu mkapa, mdau moja alisema mshahara wa rais ni $12,000 kwa mwezi.

Kama nimekosea naomba nirekebishwe
Kama ni kweli kuna shida, yaani rais wa Tanzania apokee pesa kwa dolari badala ya shilingi za ki-Tanzania. Hiyo si sawa.
 

abdallah92

New Member
Joined
Aug 6, 2018
Messages
2
Points
20

abdallah92

New Member
Joined Aug 6, 2018
2 20
Kama ni kweli kuna shida, yaani rais wa Tanzania apokee pesa kwa dolari badala ya shilingi za ki-Tanzania. Hiyo si sawa.
Tujitahidi kufatilia kwanza watanzania, so tunatoa story za mtaan ambapo wengi so wafatiliaji, mshahara wa rais wa sasa ni shilingi za kitanzania million 9tzs, = dola 4008$ = shilingi za Kenya 400,800ksh.
 

Shareef Conscious

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Messages
499
Points
500

Shareef Conscious

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2016
499 500
Ikiwa mkuu wa wilaya analipwa 5m per month,Fanya kupanda kwa RC,kisha mawaziri,manaibu,waziri mkuu,mkuu wa majeshi,makamo Raisi+Raisi mwenyewe!!With that being said,na ukizingatia si bara la giza,acha tubaki gizani tu maana hawajauweka wazi maksudi KBS kwakua wanajua reaction ya wananchi itakuaje+Nitakua ni suala LA kisiasa
 

fogoh2

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
2,926
Points
2,000

fogoh2

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
2,926 2,000
Ikiwa mkuu wa wilaya analipwa 5m per month,Fanya kupanda kwa RC,kisha mawaziri,manaibu,waziri mkuu,mkuu wa majeshi,makamo Raisi+Raisi mwenyewe!!With that being said,na ukizingatia si bara la giza,acha tubaki gizani tu maana hawajauweka wazi maksudi KBS kwakua wanajua reaction ya wananchi itakuaje+Nitakua ni suala LA kisiasa
Dc ni raisi kwenye wilaya mbona umemshusha hapo kwa mkuu wa majeshi .cdf anampigia saluti dc
 

BIGURUBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Messages
6,709
Points
2,000

BIGURUBE

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2014
6,709 2,000
Honestly Rais wa Tanzania kulipwa 9m ni kudhalilisha taasisi husika, binafsi sitaki kuamini km jiwe analipwa pesa hiyo!

For rumors ni Kwamba Tanzania president is on the highly paid Presidents in Africa!
 

Forum statistics

Threads 1,380,748
Members 525,870
Posts 33,778,552
Top