Kwa mujibu wa Mtandao wa MyWage Rais Magufuli wa Tanzania analipwa kama ifuatavyo.
Annual (Kwa Mwaka)Tzs.422,135,637.00. Monthly(Kwa Mwezi):Tzs. 35,178,053.00. Weekly(Kwa Wiki):Tzs 8,118,012.00. Daily(Kwa Siku):Tzs 1,156,539.00
Jamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.
Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?
Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?

Hiyo nayo ni siri kubwa Watanzania hatistajili kuijua!!! Tunajua mshahara wa Rais wa Marekani lakini hatujui mshahara wa Rais wetu!!!! Bill clinton ndiye alikwa Rais wa mwisho wa Marekani kupokea mshahara wa $200,000 kwa mwaka alipomaliza awamu yake ya miaka minane mwaka 2000. Kuanzia 2001 mshahara wa Rais wa marekani uliongezwa na kufikia $400,000 kwa mwaka. Kama kumbu kumbu zangi ni nzuri walidai wameoungeza maradufu kwa sababu ni miaka mingi imepita tangu nyongeza ya mwisho na pia gharama za maisha zimepanda sana. Lakini tukirudi kwa Rais wetu hatuujui mshahara wake!!! Mwe hii ni sirikali!!!
Waafrika huwa tuna matatizo sana, hata mshahara wa mzazi wako huwezi kuujua sembuse mshahara wa viongozi. Waafrika tuna matatizo sana. Usiri wa waafrika unafanya matatizo mengi sana, ndio maana unakuta mzazi anapata mshahara Mkubwa lakini hakuna maendeleo yoyote.
Mshahara wa Rais wetu Japo hatuujui hauwezi ukawa Juu sana compared to other East African Presidents..Infact yeye ndo Anapokea Mdogo Kabisa according to sources kadhaaa nlizokutana nazo hapa na pale kwa Mfano unakuta top 20 ya Highest paid presidents wa Ishirini analipwa $18,000 that implies he receives less around $ 4000-$ 6000 pitia hapa for more info The highest and lowest paid African presidents