abdallah92
New Member
- Aug 6, 2018
- 3
- 1
Tujitahidi kufatilia kwanza watanzania, so tunatoa story za mtaan ambapo wengi so wafatiliaji, mshahara wa rais wa sasa ni shilingi za kitanzania million 9tzs, = dola 4008$ = shilingi za Kenya 400,800ksh.Kama ni kweli kuna shida, yaani rais wa Tanzania apokee pesa kwa dolari badala ya shilingi za ki-Tanzania. Hiyo si sawa.