Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,356
2,000
Inabidi kwanza tuachane na utaratibu wa wabunge kujiidhinishia maslahi yao wenyewe; hii haiendani na mantiki yeyote ya kawaida, achalia mbali utawala bora!
Nasikia unaenda kugombea ubunge, najua utashinda. Ukiingia bungeni anza na hii hoja.
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
109,911
2,000
Mshahara wake ni $192,000 kwa mwaka sawa na milioni 444,288 kwa mwaka na mshahara ndiyo pia alikuwa akipata Kikwete. Kutokana na siri kubwa ya mshahara huu si ajabu umeshaongezwa kimya kimya maana ungepunguzwa jamaa anavyopenda sifa angeweka hadharani.
Mshahara wa raisi c alisemaga ni 15M kwa mwezi.
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
88,615
2,000
Mshahara wake ni $192,000 kwa mwaka sawa na milioni 444,288 kwa mwaka na mshahara ndiyo pia alikuwa akipata Kikwete. Kutokana na siri kubwa ya mshahara huu si ajabu umeshaongezwa kimya kimya maana ungepunguzwa jamaa anavyopenda sifa angeweka hadharani.
Reliable source?
 

mafikizoloo

Member
Oct 13, 2018
18
45
Honestly Rais wa Tanzania kulipwa 9m ni kudhalilisha taasisi husika, binafsi sitaki kuamini km jiwe analipwa pesa hiyo!

For rumors ni Kwamba Tanzania president is on the highly paid Presidents in Africa!
Hata kama angepewa tsh 100000 (laki moja kwa mwezi) bado ingekuwa nyingi sana kwa hayo marupu rupu anayoyapata.
 

mafikizoloo

Member
Oct 13, 2018
18
45
Kwa jinsi hawa jamaa wanavyolipana mishahara mikubwa alafu wengine tumesoma ma degree yetu tena ya Engineering na Medical na kwa garama kubwa lkn bado tunasota mitaani hatuna kazi ili hali taasisi kibao zinauhitaji lkn hawawezi kutuajiri kisa tuu Hamna fungu LA kutulipa. siku mungu atakapo nichukua nikiwakuta mbinguni nitarudi huko. Haiwezekani MTU anajifanya yeye ni mnyonge kutulobesha tuu ili hali yeye ndio ameshikilia utajiri wetu alafu watu wanamsifia eti kajenga barabara kwani amejenga kwa pesa zake au ni pesa zetu ni sawa na baba hapo nyumbani ameuza ng'ombe ambaye wewe ndio unamkatia majani kila siku alafu anakuja na sukari kg1 wewe unamshangilia na kumuona wa maana haiwezekani kabisa. Nimeandika mchanganyiko bila nukta maana ninahasira na ninamengi ya kuandika nashindwa kujua nianzie wapi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom