Mishahara ya viongozi wa Tanzania

NAKUONYESHA NINAPO FANYIA BIASHARA NA PIA TUNAKABIZIANA KI MKATABA KAMA KUMPA DEREVA BAJAJI KISHA AKULEJESHEE PESA KILA SIKU.
Yaani....
ili kuondoa usumbufu wa kila siku kupiga simu na kuulizia marejesho.
Unatoa BOND NINI?
Nyumba, kiwanja au Mali gani ya kuhamishika yenye makaratasi halali.

Nazungumzia "Collateral ni nini?"

#YNWA
 
Hahaa nafikiri ni nadhalia nzuri kueleweka kwa maana ya mtu kuelewa kuwa sikuiz jambo/mambo hayapo kama miaka y nyuma.
Sikumaanisha ubaya maana nilisema mtu anaweza nipa ndugu yake ama mtu anae mfahamu nikawa nae bega kwa bega ktk biashara ili tu kumpa amani yule atoae pesa moyo wa kuwa pesa yake ipo salama mpaka pale nitakapo maliza nae mkataba .. . ....nazani wengi wenu si watu wa kuelewa.
 
Kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani?

Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika.

Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.

Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?

Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
Mshahara wa rais n sir nzito na hiyo bajet mara nyingi haiwez kuwekwa waz kwasabab yey ndye amiri jesh mkuu na ndo kiongoz wa Tiss kama bajet ya Tiss tu wa kawaida haiwekwi waz wanawezaje wakaweka ya kiongoz wao n ngum sana kuijua labda upate taarifa kwa watu wa ikulu na viongoz wakubwa au kwake mwenyew
 
Sasa kwa nini mishahara ya viongozi wa mataifa makubwa inajulikana?
 
Kwanza mataifa yanatofautiana sera na katba sheria na kanuni lakn pili tayar yale n mataifa ambayo tunasema yanauchumi mkubwa yalishaendelea tayar inakua sio tatizo kuweka kila kitu waz lakn kwa nchi zetu za Africa nying n ngum kidgo kuweka waz kwasabab ndo zinaendelea inaweza kua shida kdgo iwapo wataweka waz pengne kama kutokua na aman daut kwa wananchi mfano ww leo hii unaskia rais anapokea 500mil kwa mwez na ww maisha yko unayajua mwenyew inawez isilete picha nzur kwa sura ya wananchi weng lakn mataifa makubwa hata wakisema ivyo washaendelea ko inaonekana kam kitu cha kawaida kwao.

Sjui ntakua nimejbu swali lako kiongoz
 
Kwanza mataifa yanatofautiana sera na katba sheria na kanuni lakn pili tayar yale n mataifa ambayo tunasema yanauchumi mkubwa yalishaendelea tayar inakua sio tatizo kuweka kila kitu waz lakn kwa nchi zetu za Africa nying n ngum kidgo kuweka waz kwasabab ndo zinaendelea inaweza kua shida kdgo iwapo wataweka waz pengne kama kutokua na aman daut kwa wananchi mfano ww leo hii unaskia rais anapokea 500mil kwa mwez na ww maisha yko unayajua mwenyew inawez isilete picha nzur kwa sura ya wananchi weng lakn mataifa makubwa hata wakisema ivyo washaendelea ko inaonekana kam kitu cha kawaida kwao... Sjui ntakua nimejbu swali lako kiongoz
Matumizi ya pesa za walipa kodi lazima yawe wazi!

Rais ni mtumishi wa wananchi. Analipwa mshahara na hela za walipa kodi.

Walipa kodi hao [wananchi] wana haki ya kujua pesa zao zinavyotumika.

Kenya tu hapo mshahara wa Rais siyo siri. Unajulikana ni kiasi gani.
 
Kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani?

Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika.

Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.

Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?

Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
Kama ni USD200,000 ni kidogo kwa kazi risk kama ile.
 
Mshahara wa rais n sir nzito na hiyo bajet mara nyingi haiwez kuwekwa waz kwasabab yey ndye amiri jesh mkuu na ndo kiongoz wa Tiss kama bajet ya Tiss tu wa kawaida haiwekwi waz wanawezaje wakaweka ya kiongoz wao n ngum sana kuijua labda upate taarifa kwa watu wa ikulu na viongoz wakubwa au kwake mwenyew
Acha ujinga wewe, mshahara wa Raisi sio siri na unajulikana wazi kabisa
 
Mshahara wa rais n sir nzito na hiyo bajet mara nyingi haiwez kuwekwa waz kwasabab yey ndye amiri jesh mkuu na ndo kiongoz wa Tiss kama bajet ya Tiss tu wa kawaida haiwekwi waz wanawezaje wakaweka ya kiongoz wao n ngum sana kuijua labda upate taarifa kwa watu wa ikulu na viongoz wakubwa au kwake mwenyew

Ni siri kwa sababu ya wizi wetu wa kiafrika.

Siri inatokana na wizi tu hakuna cha maana
 
Kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani?

Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika.

Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.

Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?

Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
VIJANA PENUENI MAWAZO, FANYENI KAZI ACHENI KUJADILI MISHAHARA YA WATU. NENDA KAFANYE KAZI UHESABU ZAKO.
 
Back
Top Bottom