Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Serikali imekuwa ikitoa mishahara ya watumishi wa umma kwenye tarehe 22 kila mwezi lakini mwezi huu wa november 2017 imechelewesha hadi leo kufikia tarehe 23 mishahara bado kutoka hii ni wazi kuwa serikali yetu imefilisika haina pesa tunapoelekea watumishi wa umma watakuwa wanapitisha hata mwezi bila kulipwa pesa zao wajiandae kisaikolojia .

Serikali hii imeshindwa kuongeza mishahara means annual increment wakati iliahidi mwezi kuongeza lakini payroll zimeshatoka hakuna nyongeza ukweli serikali ya awamu ya tano haina pesa kabisa huo ndoo ukweli .

Nashaanga hata baadhi ya wanasiasa kujitokeza na kusema wanaunga mkono juhudi za serikali hawa ananunuliwa haki ya mungu mtu mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono serikali mfu kifedha kama hii haina huruma kwa wananchi .

Kila kukicha vitisho tu kwenye utumishi wa umma lakini hata mishahara hawaongezi nguvu wanayotumia kutoa vitisho wangetumia kutatua changamoto za watumishi wa umma na wananchi serikali imejaa waropokaji tu .
Mkuu ukiponda kwa kigezo cha mshahara kutokuingia trh 22 unakuwa umefikiri katika kiwango cha chini sana... na kama umeitumikia serikali yako kwa muda wa miaka miwili na zaidi na bado mshahara ukipita siku moja unalia bado uko katika umaskini wa kiwango cha juu.. kumbuka tu una uwezo mkubwa sana wa kujikwamua hapo ulipo bila kusubiri mtu yoyote waza nje ya boksi. Ukishindwa kusimama mwenyewe utaendelea kunyenyekea na kulalamika maisha yako yote. Jipe principle moja rahis akiba niliyonayo naweza ishi atleast miezi3 bila mshahara. ANZA sasa
 
Baada ya kusota miezi 8 nikipambana na hali yangu, hatimaye leo nimepandishiwa mshahara wangu...
Kifuatacho ni kuzima Laptop na weekend ianze..
Asanteni Utumishi.
 
Baada ya kusota miezi 8 nikipambana na hali yangu, hatimaye leo nimepandishiwa mshahara wangu...
Kifuatacho ni kuzima Laptop na weekend ianze..
Asanteni Utumishi.
Kuna ongezeko kweli mkuu? Nataka nianze weekend pia hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu ukiponda kwa kigezo cha mshahara kutokuingia trh 22 unakuwa umefikiri katika kiwango cha chini sana... na kama umeitumikia serikali yako kwa muda wa miaka miwili na zaidi na bado mshahara ukipita siku moja unalia bado uko katika umaskini wa kiwango cha juu.. kumbuka tu una uwezo mkubwa sana wa kujikwamua hapo ulipo bila kusubiri mtu yoyote waza nje ya boksi. Ukishindwa kusimama mwenyewe utaendelea kunyenyekea na kulalamika maisha yako yote. Jipe principle moja rahis akiba niliyonayo naweza ishi atleast miezi3 bila mshahara. ANZA sasa
shida kubwa mkuu ni kwamba kidato cha pili wako nyumbani baada ya kumaliza mitihani yao ya tathmini......!!!
 
Back
Top Bottom