Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Mpigie Sm Grece Aka Mrs Mgabe The Ex Prezdaa atakuwa anajua.
 
Serikali imekuwa ikitoa mishahara ya watumishi wa umma kwenye tarehe 22 kila mwezi lakini mwezi huu wa november 2017 imechelewesha hadi leo kufikia tarehe 23 mishahara bado kutoka hii ni wazi kuwa serikali yetu imefilisika haina pesa tunapoelekea watumishi wa umma watakuwa wanapitisha hata mwezi bila kulipwa pesa zao wajiandae kisaikolojia .

Serikali hii imeshindwa kuongeza mishahara means annual increment wakati iliahidi mwezi kuongeza lakini payroll zimeshatoka hakuna nyongeza ukweli serikali ya awamu ya tano haina pesa kabisa huo ndoo ukweli .

Nashaanga hata baadhi ya wanasiasa kujitokeza na kusema wanaunga mkono juhudi za serikali hawa ananunuliwa haki ya mungu mtu mwenye akili timamu hawezi kuunga mkono serikali mfu kifedha kama hii haina huruma kwa wananchi .

Kila kukicha vitisho tu kwenye utumishi wa umma lakini hata mishahara hawaongezi nguvu wanayotumia kutoa vitisho wangetumia kutatua changamoto za watumishi wa umma na wananchi serikali imejaa waropokaji tu .
 
Hakuna ongezeko wakubwa, subiri mshahara wako wa siku zote mim tayari nimepata hamna kitu kilichoongezeka
 
Mada zisizokua na kichwa wala miguu kama hoja za vyama vilee ambavyo husubiri matukio ya serikali yanavyo trend ili nao wayabebe kama agenda zao rasmi.
 
Watu mnapenda kuona serikali inafeli. Leo tarehe 23 eti mnalalamika duuu. Mie nilidhani mishahara ya October haijalipwa hadi leo kumbe ni ya November hii ambayo hata haijaisha duuu.
 
Mshahara ungekuwa umeisha tayari...subiri leo jioni hela inaingia ukalipe madeni ya mangi
 
Sijawahi kwenda bank kuangalia mshahara kabla ya tarehe 25 na kila nikienda tarehe hiyo Huwa naukuta.
Nakushauri na wewe uwe unaenda kuangalia tarehe hiyo au ikiwezekana mwisho wa mwezi kabisa 30 au 31 ili usipoukuta tarehe hizo ujue kuna tatizo.
Kudeka ni tabia mbaya
 
Sijawahi kwenda bank kuangalia mshahara kabla ya tarehe 25 na kila nikienda tarehe hiyo Huwa naukuta.
Nakushauri na wewe uwe unaenda kuangalia tarehe hiyo au ikiwezekana mwisho wa mwezi kabisa 30 au 31 ili usipoukuta tarehe hizo ujue kuna tatizo.
Kudeka ni tabia mbaya
Soma vizuri uzi acha kurukaruka
 
Kichwa chako hakina uwezo wa kuelewa nilichoandika tulia
It's non-sense kabisa.

Kwahiyo serikali ikitoa mishahara leo jioni au kesho utarudi ku comment kwamba uchumi umeimarika ndani ya hayo masaa machache?

Watanzania hatunaga mambo ya kufanya zaidi ya kuandika utoto kama huu.

Kwa akili yako kutoka kwa mshahara ndio kipimo cha uchumi wa nchi?
Eti nawewe GT?
 
Back
Top Bottom