zunya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 1,529
- 1,073
umesikia wapi na lini....!!??Nasikia imeongezwa elf 90
umesikia wapi na lini....!!??Nasikia imeongezwa elf 90
Mbunge wako nani?Mimi nalia na PAYE, jamani ni kubwa! wakiongeza mshahara nayo inapanda! tunaomba msaada katika hili
Itapendeza zaid kama akianza kuni-update kua mshahara umetoka 😀😀😀😀maswali double, anze na lipi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mshahara bado bana watu tuu wanajitahid kuwafanya serikali ili watoe mapema salaryNani aliyepata salary atuthibitishie humu?
Nani kakwambia?Mshahara bado bana watu tuu wanajitahid kuwafanya serikali ili watoe mapema salary
Mshahara bado Mzee Baba...!Mliopata mshahara ongeeni kitu cha uhakika!??
Kuna ongezeko!??
Benki gani mkuu?Tayari ongezeko 0
Bado bank gani? Kuna baadhi ya watu wa nmb wanasema tayari. Sasa wewe huenda upo Mkombozi bank unafikiri wote wapo huko.Mshahara bado bana watu tuu wanajitahid kuwafanya serikali ili watoe mapema salary
Aaaaaahhhh ngoja nami nihakikisheBado bank gani? Kuna baadhi ya watu wa nmb wanasema tayari. Sasa wewe huenda upo Mkombozi bank unafikiri wote wapo huko.
Ninavyosikia hakuna annual increments lakini kwa waliokuwa promoted mambo yako poa
Hilo nalo ni nenoMaisha Ya Kusubiri Mshahara Ni Ya Kitumwa Sana Tena Sana! Nilisha Anza Process Za Kuoachana Na Kaz Za Kuajiriwa.
Ushashiba weweMaisha Ya Kusubiri Mshahara Ni Ya Kitumwa Sana Tena Sana! Nilisha Anza Process Za Kuoachana Na Kaz Za Kuajiriwa.

Mmepata mishahara mmenyamaza? Next December mtalianzisha tena!Bado bank gani? Kuna baadhi ya watu wa nmb wanasema tayari. Sasa wewe huenda upo Mkombozi bank unafikiri wote wapo huko.
Ninavyosikia hakuna annual increments lakini kwa waliokuwa promoted mambo yako poa