Akwota
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 791
- 633
HahahaaaKuna mtumishi namdai na ameniaidi kunilipa salary ikitoka. Hivyo kama mshahara umetoka naombeni mnijulishe
HahahaaaKuna mtumishi namdai na ameniaidi kunilipa salary ikitoka. Hivyo kama mshahara umetoka naombeni mnijulishe
Lipo Ila ni kiduchu sana hata kusema kwa watu.Mliopata mshahara ongeeni kitu cha uhakika!??
Kuna ongezeko!??
Acha matusi... JiheshimuKumbe ndyo maana unauza tigo hapa mjini?
BadoMshahara umetoka???
Amewajali kivipisafiiii jpm Umemaliza Sasa kerere Kwa kuwajali watumishi
Kwan mshahara umetokaIncrement boss , sasa 2020 njia nyeupe ikuluuu
Mbona mmenyamaza mmeishapata mishahara nini?Uz umebamba huu,
Watumishi muwe na subira mtapata mishahara yenu kesho join,
Calm down wapendwa
BadoMbona mmenyamaza mmeishapata mishahara nini?
Kwa vyuma vilivyokaza lazima umpateaiseeh, hii weekend sijue nani nimtafute akanisaidie kuitumia hii
Ok umeshinda. Kwani ugomvi!! Ulinipeleka shule wewe! Unajua ninachofanya! Au ndo wale wale mnaochangia kila hoja na mna majibu ya kila swali sioWewe muongo sana, ati kwa sasa unapokea almost twice ya million 1, ati ila ni shida kwan kwa sasa una extra income ya elf5 per day yani 150,000 kwa mwez ambayo ni nafuu kwa amost 2mln unayopata sasa...
Mm hapo rationally ya 2mln salar na addition ya 150,000 ni wap na wap?? Hakuna rationaly hapo
Nawataarifu tu kuwa BADOOk umeshinda. Kwani ugomvi!! Ulinipeleka shule wewe! Unajua ninachofanya! Au ndo wale wale mnaochangia kila hoja na mna majibu ya kila swali sio