Tukumbushane haya maneno yako mkuuunajua kuna increament za miaka 2 hizo zikiwekwa ni kama umerudishiwa ulichokoseshwa kisheria. wajanja wanaweza kuita nyongeza. kama kawaida kuna watakaochekele na kumwaga sifa
Hao neema zipo kwao wana miposho kibaoSasa kama sisi walimu tunalia ndugu zetu wapiga saruti huko si hali mbaya huko.
Ni hivi ni Sheria kwamba mtumishi anapata salary increament Kila mwaka kwa Tz hutolewa Kila July. Hi inatofautiana kulingana na mshahara wa mtumishi. Sasa mwaka 2016 na 2017 hazijatolewa kinyume na Sheria. Kwa hivi ni lazima zirejeshwe kwanza ndipo nyongeza itolewe. Isijekuwa unaambiwa mshahara umeongezwa Kimberly umerejeshewa tu increament uliyopokonywa. Vyama vya wafanyakazi hapa vimelalaTukumbushane haya maneno yako mkuu
Imeongezeka shng ngapi Mkuu.!??Wale wa nmb mzigo ushaingia tayar.
Increment vile vile Kama nilivosema.
Yule jamaa alokua ananibishia humu akuje hapa haraka
Anipe msimbazi wangu nikanywe supu sahivi
Hahhahaa...Huu uz utakufa natural death vry soon...
Ni hawa bakabaka au hata kaki ?Hao neema zipo kwao wana miposho kibao
Wote tuNi hawa bakabaka au hata kaki ?
Inawezekana Mkuu nipo bush mtwara huku kuna jirani yangu poti mvaa kaki anasumbua sana tumepanga nyumba moja na caldina Kali sana nje hata washkaji zake wanafika kwa msera naona wako poa kimuonekano,basi inawezekana wamekumbukwa na wao maana walikuwa hali mbaya.Wote tu
inapendeza900 itapendeza zaidi
Mwenye taarfa rasmi atushitue basi.wengine tuko chaka huku.Wote tu