Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Kuna mtumishi namdai na ameniaidi kunilipa salary ikitoka. Hivyo kama mshahara umetoka naombeni mnijulishe
watumishi wanahalingumu,mmoja kaniachia smartphone kwa elfu30 eti mshahara ukitoka aje aikomboe,kama hali ndo hiyo ntabaki na smati yangu nimemwambia ikifika 30/11 naitaifisha
 
Mimi sijajua mishahara ina nini!!! Wakati fulani nilitamani sana take home angalau nipate 1M tu nikasema nitakuwa na pesa kwelikweli! Nimefanya hizi kazi na sasa naizunguka hiyo niliyoitamani almost twice lakini bado mahitaji yanakuwa juu ya mshahara wenyewe.. Uamuzi nilioufanya ni kuanza uwekezaji mdogo mdogo angalau kuingiza hata 5,000 daily out of salary inasaidia sana kuufanya mshahara uwe na value flani. Otherwise ni mateso makuu kumtegemea salary pekeyake.
Ulifanya uwekezaji gani na ilikugharimu mtaji kiasi gani mkuu.. Samahani lakini nje ya mada. Kindly share hilo wazo ili tupate maarifa
 
Debby Christine swala la uwekezaji liko na changamoto kidogo ndugu yangu, sio rahisi kuwa na same idea,. My idea iko soo simple ila ni inalipa.
Mushroom cultivation, nimeamua kulima uyoga aina ya Oyster au mamama, mwanzoni ilikuwa inasound soo weird kwakweli ila nilifanya research ya hii kitu kwa huku nilipo nikaona kuna some people wana make money. Nilianza kwa kufanyia kwenye chumba kimoja nilikijenga kama stoo nikaona the way unakuwa na challenges zake then i decided to go for business.
Gharama za uzalishaji zipo chini na faida yake ni kubwa kwakweli kwasababu we sell kwa minimum of 10,000/kg
Hii ni investment moja wapo ambayo napata Shilingi kidogo
 
P

Nilitumia almost 100,000 laki moja tu kuanzisha hii project
 
Asante ndugu.
 
Mimi sijajua mishahara ina nini!!! Wakati fulani nilitamani sana take home angalau nipate 1M tu nikasema nitakuwa na pesa kwelikweli! Nimefanya hizi kazi na sasa naizunguka hiyo niliyoitamani almost twice lakini bado mahitaji yanakuwa juu ya mshahara wenyewe.. Uamuzi nilioufanya ni kuanza uwekezaji mdogo mdogo angalau kuingiza hata 5,000 daily out of salary inasaidia sana kuufanya mshahara uwe na value flani. Otherwise ni mateso makuu kumtegemea salary pekeyake.
Wewe muongo sana, ati kwa sasa unapokea almost twice ya million 1, ati ila ni shida kwan kwa sasa una extra income ya elf5 per day yani 150,000 kwa mwez ambayo ni nafuu kwa amost 2mln unayopata sasa...
Mm hapo rationally ya 2mln salar na addition ya 150,000 ni wap na wap?? Hakuna rationaly hapo
 
Back
Top Bottom