baro
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,328
- 4,516
Huifahamu SUA kijana , na Wala hufahamu mishahara ya ma PROFESA msiwe mnadanganyana huko mabweniniWa Kivukoni University au DUCE?
Huifahamu SUA kijana , na Wala hufahamu mishahara ya ma PROFESA msiwe mnadanganyana huko mabweniniWa Kivukoni University au DUCE?
Hapana, Ila ni kuwa na uelewa wa mengiHivi ukuwa profisa ndo kujua kila kitu?,
Huyu alizingua sana.Professor mmoja alisema alikuwa jalalani akatolewa jalalani na JPM, imagine
Maprofesa hao 66 wana mchango gani kwa taifa?Acha kuharibu reputation za watu Bure. Professor gani alistaafu UDSM Hana hata nyumba?. Uzuri Maprofesa wenyewe wachache, maana Kama kustaafu Ina maana alikuwa full profesa ambao kwa Sasa kwa idadi ni 66 kwa mujibu wa serikali. Tuache speculations na kushishia hadhi uprofesa.
Mbona fresh tu,maisha si yanasongaBustani ya pilipili, nyanyachungu, karoti na Figiri
We jamaaa😂😂SUA kuna Profs wanazoa mpaka 15m.
Sawa umeeleweka...1.Ng'ombe wawili wa maziwa(SUA)
2.BAR(UDSM,OUT,UDOM,SAUT,DUCE,MUCE )
3.lodge (Mzumbe,UDOM)
4.Mboga mboga nusu heka (SUA)
5.Bwawa la samaki(SUA)
6.Stationary-vitini vinapatikana hapo na vitabu vyake(vyuo vyote)
7.Daladala (UDSM,OUT,SUA)
8.Saluni(DUCE,UDOM,MAKUMIRA,MIPANGO DOM,MZUMBE)
9.SHULE (Huyu amejitutumua sana ila usimamizi sio mzuri)
Ongeza na wewe unazo zikumbuka
1.Ng'ombe wawili wa maziwa(SUA)
2.BAR(UDSM,OUT,UDOM,SAUT,DUCE,MUCE )
3.lodge (Mzumbe,UDOM)
4.Mboga mboga nusu heka (SUA)
5.Bwawa la samaki(SUA)
6.Stationary-vitini vinapatikana hapo na vitabu vyake(vyuo vyote)
7.Daladala (UDSM,OUT,SUA)
8.Saluni(DUCE,UDOM,MAKUMIRA,MIPANGO DOM,MZUMBE)
9.SHULE (Huyu amejitutumua sana ila usimamizi sio mzuri)
Ongeza na wewe unazo zikumbuka
SUA wameweka sup za kulipia sup ni 20 ukipata zaid ya 1 unaongezea elf 10.10. Supplementary za kulipia
Kwa hiyo supp 2 ni sh?SUA wameweka sup za kulipia sup ni 20 ukipata zaid ya 1 unaongezea elf 10.
Wakati SUA sup wanapatakaga nusu ya chuo.
Maproffessor wanafundisha na kufanya consultation kila siku, wanashindwa kufanya tafiti zenye tija kwa ukosefu wa vifaa na pesa, serikali imeitelekeza sayansi na teknolojia na hilo ni kosa mkubwa sana la kiufundi. Wamebaki omba omba kwa kuandika proposals kila kukicha kwa mabeberu ambao nao wana interest zao.Mimi siku zote msimamo wangu ni huu. Nchi yetu tujilaumu sisi wananachi wenyewe kwa kila baya lililopo. Hawa maprofesa wanafanya nini kubadilisha hii hali kama siyo kujikomba kwa viongozi huku wakiwa wamejawa na woga mkuu. Juzi kuna watu alitaka kufanya kongamano la katiba kwenye chuo fulani Mwanza. Profesa Mahalu na usomi wake (nadhani ni sheria) alikuwafukuza huku akisema wanamharibia. Kwa kifupi ni kuwa wananchi pamoja na hao wasomi hatujitambui. Hakuna serikali duniani inayojali wananchi wake bila hao wananchi kuisimamia.
Sasa huo si sehemu ya mshahara na huwa ni kwa kipindi fulani tu, wapo wenye project za mabilioni na wapo waliochoka haswa kama huna mradi au consultation work. Tatizo tunajichanganya kufikiri Prof akifanya biashara itakuwa sana si kweliNadhani anaongelea mapato yote sio mshahara. Kuna maproff wanafundisha vyuo zaidi ya kimoja. So inawezekana.
30Kwa hiyo supp 2 ni sh?
Bei nafuu Sana, makumira nasikia 1 ni 40k
Chuo gani?Mishahara vyuo vikuu vinalipwa kwa ranks. Hivyo kwa full proffesor kupata Hadi milioni kumi sio ajabu.
Nakubaliana nawe mkuuHuyo kijana atakuwa ni first year kasahau humu pia maprofesa tumo
Hata hapa wanafanya utafiti sana tu! Hebu nenda utafute ukweli kuhusu hii project pale SUA.Kwa wanaojitambua (nchi) maprofesa wanajikita kwenye mambo ya utafiti na utaalam. Huwezi kukuta wanafanya vi-miradi njaa kama hapa kwetu.
Infact mimi silaumu mtu mmoja mmoja bali nalaumu kwa ujumla japo angeweza ku-react kisomi zaidi na siyo kama robot lililoamrishwa.Maproffessor wanafundisha na kufanya consultation kila siku, wanashindwa kufanya tafiti zenye tija kwa ukosefu wa vifaa na pesa, serikali imeitelekeza sayansi na teknolojia na hilo ni kosa mkubwa sana la kiufundi. Wamebaki omba omba kwa kuandika proposals kila kukicha kwa mabeberu ambao nao wana interest zao.
Huyo aliyezuia kongamano unamlaumu bure kwani nchi imeshikwa na waliomweka hapo, na ndio waamuzi wa kila kitu, wanasiasa wanajifanya wajuaji, miungu watu na we ye kiburi.
Sasa huo si sehemu ya mshahara na huwa ni kwa kipindi fulani tu, wapo wenye project za mabilioni na wapo waliochoka haswa kama huna mradi au consultation work. Tatizo tunajichanganya kufikiri Prof akifanya biashara itakuwa sana si kweli