sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,237
- 8,992
Ni vya kwake? Prof. Mzima unaendesha stationery? au mpesa, waachie darasa la saba bwana, ipo siku utakuta prof. Anauza chapati na utasema ni sawa.Huna unachojua mwehu wewe! Unafahamu Prof. Mdegela wewe? Wacha nisitaje miradi yake! Mbona wengi tu wanapiga hela kwenye fani zao! Unataka prof. Wa SUA asifuge ng'ombe? Eti unasema ng'ombe wawili, hujawahi kumwona Prof mwenye ranch ya ng'ombe wa nyama na maziwa pale SUA?
