Hii nchi kila mtu analaumiwa. Hivi nani mwenye nafuu ?
Hata MO, Bakhresa nao hulaumiwa.
Suluhisho ni nini ?
Kwa nini unataka mtu mwingine abebe majukumu yako? Kwani jukumu la kuanzisha biashara kubwa ni la professor peke ake?
Kwa nini mtoa mada na wewe sio tajiri ? Mbona USA matajiri hawajamaliza chuo kikuu.
Kwa nini mtoa mada usiwe professor ili uje utoe mfano wa kuwa professor tajiri?
Nahitimisha kwa kusema kila pungufu la hii nchi linamuhusu kila mtu, tumejitoa ufahamu na kubebesga lawama kundi fulani la watu watutatulie shida zetu.
Ukilinganisha kipato cha Professor wa USA na tajiri wa kule wap9 the same boat na wetu.
Prof wa USA analipwa Mpaka dola laki 1+ wakati tajiri wa kule USA ana miliki dolla bilioni 50 mpaka 200.
Ina maana hao professor wa marekani hawana akili?
CEO wa OPEN AI ni kijana mdogo alie acha shule, ila kwa muda mfupi ameisha washinda utajiri maprofesa wengi wa USA.
Fanyeni comparative analysis ya hawa watu dunia nzima, they were not prepared for making money but for finding solutions.
Bila wao watu wengi duniani tungesha kufa( nimeongea kiujumka).