Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,881
- 97,277
Mwenyewe nimeghairi pia mambo hayajakaa mkao! Hebu tupambane kwa namna nyingine kwanza tusubiri maimu ujao, we piga ndizi hiyo kikongwe kwanza!😜Mamnyo nimeacha hekari zaidi ya 100 kwa sababu msimu haueleweki ma mvua ma utabiri ya kishamba nimevunga