Mine me, Baba wa mbingu, Seran, Mshana Jr na wengine

Mine me, Baba wa mbingu, Seran, Mshana Jr na wengine

Juan jaru

Member
Joined
Mar 4, 2020
Posts
54
Reaction score
52
Habari za leo?

Wapendwa ningependa kuwe na utaratibu wa member mmoja wa Jf labda kila alhamisi achaguliwe ili members wa humu tuwe free kumuuliza chochote na ajibu postive. Ishu binafsi ambazo zinaweza kumuanika uhusika wake anaweza asizijibu.

NINGEPENDELEA TUANZE NA HAO TAJWA HAPO JUU MAANA BINAFSI HUWA NAJIULIZA SANA KUHUSU HAWA JAMAA.
 
Imekuja bila amsha amsha, kwanza ungeleta nia, na kwa nini unahisi kufanya hivyo ni kitu kizuri... No one can do something without anything in return..sio pesa tu hata attention.
 
Waanze na wewe halafu wajikite kwenye story za kwenye ile TBT yako humu, pale ulipokuwa Tabora kwenye hotel flani wewe na ba mjengo wako ukamwambia ajiangalie anavyofanya kwenye kioo, ulikuwa na maana gani🥸‽
Unataka vijana wajikojolee tu kwenye ofisi za watu!!!! huna lolote wewe mchonganishi wa mibolo dinda.
 
Back
Top Bottom