Mine me, Baba wa mbingu, Seran, Mshana Jr na wengine

Mine me, Baba wa mbingu, Seran, Mshana Jr na wengine

Habari za leo?

Wapendwa ningependa kuwe na utaratibu wa member mmoja wa Jf labda kila alhamisi achaguliwe ili members wa humu tuwe free kumuuliza chochote na ajibu postive. Ishu binafsi ambazo zinaweza kumuanika uhusika wake anaweza asizijibu.

NINGEPENDELEA TUANZE NA HAO TAJWA HAPO JUU MAANA BINAFSI HUWA NAJIULIZA SANA KUHUSU HAWA JAMAA.
Kikaangoni ilikuwepo hiyo miaka ya nyuma, watu wanaishia kuuliza maswali ya umeoa au umeolewa
 
Kama wew ni kada mtiifu wa JF usijichanganye kwenye huu mtego, Kaa rada never trust anyone.
 
Back
Top Bottom