seran

Massac-Séran (French pronunciation: [masak seʁɑ̃]; Occitan: Maçac) is a commune in the Tarn department in southern France.

View More On Wikipedia.org
  1. min -me

    JamiiForums Tanzania Mother confesa🤔

    Karibu mwenetu wa faida kutoka kwenye ban , ila sijajua kosa lako , ila siwalaumu mods , seran karibu sasa sisi wafuasi wako ,tuna kukubali kinouma 🤗 Seran ,She carries the weight of the world without asking for sympathy.
  2. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni viumbe hatari sana, nimemuona brother Mabeste chozi limetaka kunitoka

    1. Kwa wasio mjua MABESTE, alikua msanii wa MZIKI bongo fleva miaka hiyo. Moja ya hit song yake kubwa Kwa wakati huo ni, sirudi TENA. Anaimba, nakimbiza chapa, ZANGU kila saa, kwenye dhiki, sirudi te, TENA na TENA na TENA na tena na. 2. PICHA linaanza baada ya kumuoa dada Mmoja aitwae lisa...
  3. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Seran Ring

    Ni organic compound yenye kiambata cha selenium ndani yake 1.Matumizi ya Diphenyl Selenide (Ph–Se–Ph) katika maisha ya kila siku 2.Diphenyl selenide ni kiwanja cha kikaboni chenye elementi ya seleniamu (Se). Hakitumiki moja kwa moja katika matumizi ya nyumbani kutokana na gharama na sumu yake...
  4. Whackiest

    JamiiForums Tanzania Word vs PowerPoint

    Wakuu kwema! Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu kuna appk hizi mbili muhimu kwenye uwanja wa elimu yaani Microsoft word PowerPoint presentation Nimekaa nikajiuliza Ms unaweza kuandaa nondo zako kwaajili ya kufundisha kama ambavyo unaweza kuandaa kwenye ppt Naomba ufafanuzi akinifu...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mbwa wa superbug Boston texas terrier apewa jina inclusive la seran member wa jamiiforums.

    Seran nyota yako imeng'aa hapa Boston huku watu wanaheshimu sana na kupenda pets hivyo mbwa wangu nimempa sehemu yajina lako. Anaitwa Kwereseran.
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu Seran.

    At Boston terrier ila namuwaza mke wangu Seran Tanzania. Leo nanunua mbwa Nampa jina kwereseran. Karibuni Boston.
  7. Whackiest

    JamiiForums Tanzania Sex katika nguvu

    Wakuu kwema ! Nisiwachoshe sana naenda moja kwa moja Nini kinatokea katika ubadilishanaji wa nguvu kwa mwanamke mchanga na mwanaume mzee vivyo hivyo mwanaume mchanga na mwanamke mzee Kisha nipate ufafanuzi kwann ukionja penzi la mwanamke mkubwa sana unajikuta unatii mambo yake na kujinasibu...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Seran nakupenda, njoo tuyajenge

    Seran ujue nakuzimia mke !
  9. majam19

    JamiiForums Tanzania Vitoto vya 2000 michosho sana

    poleni na majukumu Kuna dada tulikuwa na mazoea kias tu uwa tunawsiliana vyema Sasa Leo halikuwa na shida na bidhaa Fulani akaniomba kuwa nkielekea maneno ya mjini nmchukulie Kweli join nkatoka home nikawasha pikipik yangu (tvs) mpaka maneno ya sokoni nkabeba mahitaji yangu Kisha nkampigia...
  10. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Seran na celebrates wenzio njoo tule bata wikeend

    Natumai mko salama salimini aisee shikamooni nisiwachoshe sana sasa leo nimekaa nikawaza nani atanifaa kutoka naye out tukavinjari maisha ni haya haya. 1.Tukale nyama choma 2.Tunywe(japo mi situmii) 3.Tusikilize mziki(zilipendwa) like oriva ngoma na Samba mapangala 4.Tucheze 5.Tuwaescort...
  11. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Tangu nijiunge na JF nimekuwa nikivutiwa sana na SERAN

    Tangu nijiunge na Jf nimekuwa nikivutiwa sana na wewe 1.Vituko vyako 2.Kujiamini kwako 3.Tabasamu lako😁 4.Wa kishua(umekaa kimjinimjini) 5.Hutaki nginjangija(unajikubali sana) 6.Avatar yako unaonekana ni bonge la totoz na hizo nywele zako za asili nyeusi tiiii 7.Kiukweli usipocomment...
  12. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Eti jana naota Seran ameandika uzi wa kunikataa😁😁

    Niliudhika sana ndotoni Najua hautofanya hilo Nakupenda
  13. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Je, vidonge vya ku "cream" ngozi ni salama?

    Nime ulizwa hili swali, kutokana na taaluma yangu, na huyu dada nikakimbia kuangalia ingredient, naona vitamin c, glutathione ila bado Nina mashaka sana nikaona nilete Kwa wataalamu husika watupe elimu Kwa manufaa ya wote, pliz wazee wa kutukana tafdhali hapa ni ulingo wa elimu si kubezana
Back
Top Bottom